Baba Collin
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 456
- 58
HOJA ILIYO HOT NI ILE INAYOHUSIANA NA SERIKALI YA ZANZIBAR ..NA SERIKALI YA MUUNGANO...Mbunge wa ZNZ analinganisha Muungano na ndoa..anasema "ukioa mke unaangalia ana sifa..na siyo huyu ana makalio makubwa au madogo."... hivyo udogo wa ZNZ si ishu....iheshimiwe.
Mh Tundu Lissu analengwa.....anaambiwa haelewi nini maana ya Urais wa kifalme! iTS REALLY HOT!
<br />Wa Zenji wala hawajamtukana zaidi ya kumpa ukweli ulivyo. Ila inaonenaka Chadema wanaogopa vivuli vyao wenyewe.<br />
<br />
Yetu macho.
wanzibari wamesema watashiriki kwa kila jambo linalohusu Tanzania liwe la Muungano au lisiwe la Muungano.hakuna serikali ya Tanganyika kokote. tusiwaonee kwa udogo wao wa idadi ya watu. Akaja mwingine akasema Waislam wa Tz Bara wamekosa haki kwenye mambo mengi tuu yanayowahusu mfano mahakama ya KADHI, haki ya kuoa au kuolewa mara tu unapovunja UNGO au KUBALEHE haki hii wameikosa Wanataka Katiba Iwarudishie. nilishindwa kuvumilia kusikiliza hoja za aina hii za kutetea kutaka kuoa au kuolewa kwenye umri wa Kitoto.
Lakini hata kama alianzia usecretary kwa kukaa sasa kwenye uwaziri karibu kipindi ch pili angekuwa anapima mambo wakati anamtuhumu na Kumsuta Lissu kwamba ana act kama sio mwanasheria kwa maana hana lugha ya staha lakini alikuwa akimzodoa Waziri Kivuli kama vile mtoto na hakustahili kuwa na mawazo mbadala kwenye hotuba ya upinzani,amemdhalirisha Lissu kwenye mambo ya msingi kabisa kwa kutuma platform yakujibu hoja ametumia dakika 28 Kumnanga Lissu 7 kwa kuwaunga mkono wale masharabaro wabunge wenye matusi wa ZanzibarUnajua Secina Kombani alikotokea? Alikuwa secretary wa SUA kwa miaka mingi akajiendeleza kidogo na kuingia kwenye siasa. Pamoja na kujiendeleza kwake na kupewa wizara nzito ya masuala ya sheria wakati hata taaluma ya sheria japo certificate hana unategemea nini? kashindwa tu hata kuchanganya na za kwake ili hekima imtawale anazungumzia ushabiki wa chama! kwa mtaji huu hatuwezi kufika popote.
Mchakato wa Katiba wapelekewe wananchi waamue wanataka muungano wa namna gani? Maana Wazanzibar wanataka haki yao kama nchi sasa muungano wa nini tena? Wana Rais wao, bendere yao, mwimbo wao wa taifa na Katiba yao ambayo bara hatukushirikishwa. Hivi huu muungano kwa maslahi ya nani? kwanini wa bara tunatukanwa na kudhalilishwa kiasi hiki as if sisi ndio tunaung'ang'ania? Mwl. Nyerere alikuwa na nia nzuri sana kwa wakati huo, naamini angekuwepo hii leo kwa upepo unavyoenda hata yeye angetaka mabadiliko makubwa yafanyike kama si kuuvunja. They need us more than we need them! Wengi wetu tumeuchoka sana huu muungano, vinginevyo tuwe na serikali ya Zbr, ya Tanganyika na hiyo ya Muungano, vinginevyo tunacheza makidamakida na huu muungano fake!
Sasa wenzangu wala urojo a.k.a 'mdebwedo' naomba nijuzwe miye! hapo 'Nke' ni nani na mme nani? kwi kwi kwi..!
Hivi kusema Zanzibar kwenye katiba isihusike kwenye mambo yatakayohusu Tanganyika (bali wahusike kwenye mambo ya muungano tu) kama ambavyo Tanganyika haikuhusika kwenye katiba ya Zanzibar ni tusi?
Safi ikibidi hata walipige makofi jinga sana hilo Lissu, mabunge mapumbavu kama Lissu dawa yao makofi tu.
Lakini hata kama alianzia usecretary kwa kukaa sasa kwenye uwaziri karibu kipindi ch pili angekuwa anapima mambo wakati anamtuhumu na Kumsuta Lissu kwamba ana act kama sio mwanasheria kwa maana hana lugha ya staha lakini alikuwa akimzodoa Waziri Kivuli kama vile mtoto na hakustahili kuwa na mawazo mbadala kwenye hotuba ya upinzani,amemdhalirisha Lissu kwenye mambo ya msingi kabisa kwa kutuma platform yakujibu hoja ametumia dakika 28 Kumnanga Lissu 7 kwa kuwaunga mkono wale masharabaro wabunge wenye matusi wa Zanzibar
hawa waachwe waendeshe nchi yao ni headache ya bila sababu,its our tax which makes them misbehave,wameshaanza wanachoma biashara za waabara kwao wakati wao wako kila mahala ya pembe ya nchi,lugha zao Bungeni CCM na CUF kuhusu Tanganyika ni za dharau sana mara wanatuita machogo sijui nini siwapendi wala siwataki kabisa kuwa kwenye muungano labda kama waafrika wenzangu lakini si vinginevyo,katiba na ije turudishe Tanganyika yetu
Jamani hili Bunge linafanya marudio usiku ili na siye tulio maofiisini tupate kuona na kusikia mipasho ya bungeni, kwenye huo mjumba siku hizi kuna mambo.
Haina majotroo pia....we unajua maana ya neno 'Nduka' kwetu uChagani? Muombe 'Paw' hasinipe ban nikuambie!
Yaani ukweli wenyewe wamemtukana matusi ya nguoni kwa kuringia kwamba wao ni nchi na ni wazanzibari ambao wako kwenye Bunge la Tanganyika tutawafanya nini hebu angalia nukuu hii ya Waziri Kivuli wa sheria kuna tusi hapo au ni facts hayo yaliyopo chini ndio ukweli wenyewe ,Selina Kombani naye kwa rating za mawaziri wenye majibu ya zero basi yeye anaongozamaneno ya Masaburi yana mantiki.
how comes mbunge unatumia mamilioni ya wavuja jasho kwa kumtukana mbunge mwanzako.
Lissu usife moyo. kaza buti wanakukubali moyoni, ila machoni wanazuga
Haina majotroo pia....we unajua maana ya neno 'Nduka' kwetu uChagani? Muombe 'Paw' hasinipe ban nikuambie!
ukiokosa point si bora usome za wenzio tu au lazima uchangie???????????????????/TUNDU LISSU kwa kizenji ni mdebwedo, source: Home - Zanzibar Government