Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

Ili kupata star tv kwa
star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting
unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search
mbele kuna namba 451unabonya namba 053 halafu okay inakua in search and
unapata star tv na channel nyingine.
Asante kwa kutupa maujuzi
 
Naona star times wameirudisha.yawezekana mgogoro umekuwa solved
 
kwa mlio dar ingiza 570 ufurahie channel 12 zaidi ikiwamo na zee cinema na nyinginezo
 
682 na 746 jaribuni mlio mwenge na meneo ya jirani
 
Kama una startime t2 dikoda weka 474 au 490 enjoy
 
Naona wameutegua ule ujanja, sasa zile chanel 13 zilizoongezeka hazipo tena!
 
Naona wameutegua ule ujanja, sasa zile chanel 13 zilizoongezeka hazipo tena!

Hizo channel hazipotei wala usikate tamaa. Ukiona hazipo kuna uwezekano kuwa startimes wamefanya channel update, wakifanya hivyo lazima hizo zipotee na unapaswa kuzisearch upya. Wakati mwingine utaona zipo lakini hazionyeshi, hili ni tatizo la signal tu. Ukisubiri zina arudi. Hata ukikosea ukafanya automatic search utakuta zimetoweka, wewe fanya manual search zitarudi tu. Mimi nimezisearch mara kadhaa zinarudi bila shida yoyote.
 
Back
Top Bottom