EARPHONE
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 355
- 66
jaribu tena mkuu
poa poa mkuu
jaribu tena mkuu
nimetumia 530 imekuja channel zaidi ya star tv bana..
wote mnabahatisha hamzijui frequency halisi mimi nilizonazo nikisearch napata channel nyingi za maana bila kulipia, hizo 530 na 531 zimebadilishwa tangu zamani
mbna mi sipati na niko Arusha,au inahusu huko mlipo ninyi 2.hakuna cha 053,530,531 zote ni 0 chanel
jaribu ila sina uhakika click SUBTITLE kwenye remote yako alafu exit, itatoka
Ili kupata star tv kwa star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search mbele kuna namba 451unabonya namba 053 halafu okay inakua in search and unapata star
VIVA JAMII FORUM!!!
Sijalipia king'amuzi changu for months now. Nawashukuru star tv, sekeseke lao limenipa channel zaidi. Am enjoying emmanuel tv kwa sasa.
Maisha ndo haya bana
dah mi kingamuzi changu cha startimes ni kile cha kwanza kabisa kabla hata ya world cup kuanza.. nimejaribu no zooote ila kimegoma
530 imenipa channel 13 zaidi, thanks!