Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

Fuata steps hizi uirudishe star t.v kwenye startimes

wakuu mwenye frequence za chanel nyingne atuwekee hapa
 
Mimi tangu mwaka jana xmass naziona,nlitumia 515
 
Ni kitu kisichowezekana hapa tunadanganywa tuu. Hii system ni sawa na kuweka cd kwenye deck au ni sawa na simu unavyotumia line ya voda huwezi kuifanya hiyo line kuwa ya tigo na ndio maana wanatumia smart card ili kunasa tuu vitu ambavyo huyo provider ameviweka.tuache kudanganyana.ingekuwa ungo sawa lkn kwenye visimbuzi thubutu?
 
chanel ya E intertaiment frequeoce yake ni namba zipi wadau?
 
Thank u guys, na mimi nimepata hiyo Star-TV na zingine za ndani na nje kibao including CNN International!!!!
 
asanteni nimepata ila kuna kibox kinatokea katikati ya screen kimrandikwa NON CONAX PROGRAM, nifanyaje ili kitoke?!!
 
asanteni nimepata ila kuna kibox kinatokea katikati ya screen kimeandikwa NON CONAX PROGRAM, nifanyaje ili kitoke?!!
 
jaribu ila sina uhakika click SUBTITLE kwenye remote yako alafu exit, itatoka
 
mbna mi sipati na niko Arusha,au inahusu huko mlipo ninyi 2.hakuna cha 053,530,531 zote ni 0 chanel
 
Haaa! Wa wapi huyu? Tena mimi mwaka jana 530 iligoma leo hii channels zote za ting zipo kwangu!

Ni kitu kisichowezekana hapa tunadanganywa tuu. Hii system ni sawa na kuweka cd kwenye deck au ni sawa na simu unavyotumia line ya voda huwezi kuifanya hiyo line kuwa ya tigo na ndio maana wanatumia smart card ili kunasa tuu vitu ambavyo huyo provider ameviweka.tuache kudanganyana.ingekuwa ungo sawa lkn kwenye visimbuzi thubutu?
 
nimetumia 530 imekuja channel zaidi ya star tv bana..
 
mbna mi sipati na niko Arusha,au inahusu huko mlipo ninyi 2.hakuna cha 053,530,531 zote ni 0 chanel

wakati mwngine hili huwa kweli
mwaka jana wakati nipo Dom ilikuwa inakataa af wenzangu wanarudisha feedback kuwa POA!
Sasa nilikuwa Dom wiki iliyopita niliset mambo yako mia!
 
Ili kupata star tv kwa star times tena unakwenda menu.halafu chini kuna system setting unabonyeza ok then inakuja channel search then inakuja manual search mbele kuna namba 451unabonya namba 053 halafu okay inakua in search and unapata star tv na channel nyingine.

ukitumia 530 unapata zaidi ya channel kumi,ccn,setanta,emmanuel tv,ya kiarabu, k24 n.k
 
Back
Top Bottom