Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,992
- Thread starter
- #1,541
Hongereni Mikia
Hongereni Mikia
Shida ya kibu ni ubinafsi na wenge.Akituliza kichwa ni bonge la mchezaji kwasababu tayari ana spirit ya upambanaji.Ila Kibu kapambana sana
Imeisha hiyoKwendraaaaa 🤣🤣🤸♂️
Wameloaaa wameloaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2]!!!!Nataka niisikie ile kauli yao:-
"Simba Sc huwa inashinda kwenye game ndogo tu"
[emoji1]
Mna siku zenu ambazo sio leo?Bahati yake ni kwa timu dhaifu, kama ameshindwa kufunga leo na Yanga haikuwa na siku nzuri basi hapo hamna kitu.
Kwa hiyo uto huwa ina Siku yake?Bahati yake ni kwa timu dhaifu, kama ameshindwa kufunga leo na Yanga haikuwa na siku nzuri basi hapo hamna kitu.
Cheka TU kakaHaaaaa haaaa nacheka kama mazuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...alisikika chura mmoja akikoroma kwenye dimbwi
🤣🤣🤣🤣🤣 duh, hii kali...alisikika chura mmoja akikoroma kwenye dimbwi
Pole dear hakuna namnaTunawarudisha wachezaji wetu Jangwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wana Yanga mnategea kusukuma [emoji2296]View attachment 2590164