Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
Mdogo mdogo mwendo wa mateka....haya twende..[emoji445][emoji23]
Usicheke sana Wydad wanaangalia hii mechi.Hahahahaua nitacheka wiki nzimaaa
Bado kwenye Azam SFC, labda ajifungishe kwa Singida BSJAmni nyeee kelele kama zoteee mtaani kwetu
Ana vichwa vya hatariInonga anafurahisha sana huyu Jamaa
[emoji23]Poleni sana wananchi wenzangu. Kwa kweli leo vijana wetu wametuangusha.
😂🤣🤣 nikapumzike sasaHalf american 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤸♂️
Marehemu aliponzwa na mdomo wake. Haya sasa..
Paw do the needful kiongozi
Toa ban ya miezi 6 🤣🤣☺️🔥🤸♂️🤸♂️🔥
Leo hutowasikia wakisema ng'ooNataka niisikie ile kauli yao:-
"Simba Sc huwa inashinda kwenye game ndogo tu"
[emoji1]