FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba

Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu.

Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati Selemani Mwalimu yeye bado anatumikia adhabu yake.

VIKOSI VYA TIMU ZOTE

Kikosi cha mwenyeji wa mchezo - Pamba Jiji FC


1773923067552.png

Kikosi cha timu mgeni - Simba SC

1773923011965.png

Pamba SC VS Simba SC nani kuibuka mshindi leo?


33' Gooooooaaaal - Anicet Oura
36' Gooooooaaaal - Mwashinga
63' Pamba 1-1 Simba
70' Pamba 1-1 Simba
80' Pamba 1-1 Simba
90' Pamba 1-1 Simba

Dakika 3 zinaongozwa
 
Kila la kheri watoto wa mjini SSC.
Kuifunga Pamba ni sawa na kukata mkono wa Utopolo.
Piga hao Wasukuma
 
Back
Top Bottom