FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

K11

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
2,254
7,199
Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex

Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare zikiwa ni mbili tu….!!!

IMG_7205.jpeg

Je, leo itakuwaje?

Kikosi kinachoanza leo dhidi ya KMC FC ni hiki hapa
IMG_7206.jpeg


Karibuni wadau kwa update za mechi hii ili tuliombali na TV tujue kinachoendelea
 
Unaelewa maana ya Bingwa Mtetezi?
Kuwa Bingwa sio kigezo cha kujiona mkubwa.

Hata Zalan mliowafunga 6 nao walikuwa mabingwa kule kwao na msimu uliofuata waliitwa mabingwa watetezi.

Zalan na Namungo utawatofautishaje?

Sasa hiyo hesabu ipeleke kwa KMC na Yanga you'll get the same damn results
 
Back
Top Bottom