Tunalo na tunatamba nalo ๐๐๐๐Kombe tunalo hatuna?
The citizen๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐
Tunalo na tunatamba nalo ๐๐๐๐Kombe tunalo hatuna?
The citizen๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐
Hii timu ni Man City kabisaNyie hii Yanga iwe timu ya Taifa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]chuma cha pili ugenini
Hiyo misosi yenu inayopikwa na wali wa plastic?Raha zipo kwenye msosi tu ๐
Kivuumbbiii leeeoooo ๐คฃ๐คฃ๐คฃKula chuma hiyooo
Vile naangalia mpira leoBasi chukua yangu๐๐๐๐View attachment 2625606
Sijawahi kuwa mtabiri mimi..huo ni upumbavu..nilisema Yanga ikiruhusu kufungwa bao zote mbili itakua upuuzi..haiwezekani utoke kwenu na mbili ukafungwe zote tena na marumo duuhKabla ya mechi mlisema yanga anafungwa 3 -0
Sema weweee๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃOoooh Mallumo sijui Malume hawafungwi kwao kiko wapiiiiiiiii[emoji1745]
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Mmhh huyu Evelyn Salt usimuamin sana...kwa itikadi zake anaweza akakugeuzia kibao akupelekee moto wewe na mishangazi yakoo๐๐๐Kabisaaa na Evelyn Salt atakuwa coordinator
Kuna makolo wanateseka.Tunalo na tunatamba nalo ๐๐๐๐
Vyotd vinaenda pamoja mkuu. Mnaweza kua mna kikosi kizur lkn mkakosa bahati mf man city ambavyo hana bahati na uefakwenye kikosi kizuri hapo ndio umeongea kwenye bahati hakuna kitu kama hicho
Kwa lipi? Kwa kupiga timubovu?? ...hebu tulizeni akili ๐ ๐Hatuamki kesho Yanga wote, tunaletewa chai kitandani. Tutaamka wakati wa lunch...
Na madunduka wote wakikutana na Yanga wawaamkie ๐๐๐๐๐๐๐
Matokeo tafadhaliNipo soweto hapa kila la heri kwa marumo
Kivuumbbiii leeeoooo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naomba uipende Yanga kwanza๐๐๐
Me ntakupenda baada ya mechi
Aiseeee naomba kaka yetu umtafute๐๐๐maana atakua anapumulia mashine saiv