Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,597
- 29,580
😂😂😂😂Naomba uipende Yanga kwanza😆😆😆
Me ntakupenda baada ya mechi
Aiseeee naomba kaka yetu umtafute😂😂😂maana atakua anapumulia mashine saiv
Yaani Leo hata hataki kupita huku kwa bahati mbaya, najua hali yake sahii itakuwa tia tia maji, hayechi yanakuchaa..!!
Mac Alpho baba najua ni ngumu ila jikaze, mbona Kalpana kaweza..?😂