FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Tutapindua meza nyenyenye...
5D3EF47D-C0D5-460F-BB88-B70C0DEAF6F3.jpeg
 
Home and away ife na goal la ugenin life huu usenge yani unashinda alafu kombe anachukua mwingine
Kama ingekuwa hakuna Home and Away, kaburi lenu lingekuwa hapa hapa kwa Mkapa; wala msingeitia serikali hasara kwa kutoa ndege ili mkanywe kahawa. Nashindwa hata kufikiria adhabu ambayo angewapa Mzee Magu angekuwepo.
Karibuni nyumbani KKFC aka Kufa Kiume Football Club.
Ah nilisahau! Kufunga ugenini usirudi na Kombe na ANDAZI mnachagua nini?
 
SEMA NI MUDA WA TANZANIA NA SISI TUACHE UNAFIKI WA KUWAPOKEA WENZETU NA KUJIFANYA WAKARIMU,SASA HIVI NA SISI IWE KAMA WANAVYOTUFANYIA WAO TIT FOR TAT
 
Back
Top Bottom