Ikiwezekana afungishwe virago mapema kabla hajasababisha majanga zaidi!Huyu kocha PABLO sio kocha wa kirudinae msimu ujao .
Mechi za mwisho zitaamua ....Gendarmerie alishinda tuu,safari imewakuta
Hata Mimi naaminiHii mechi hatufungwi
Note my words
hatuna kiungo mkabaji mzuri halafu nashangaa try again wachezaji anaotaka kusajili ni vichekesho
unaandika ukitokea maeneo ganiAingie Bocco
Sisi tunafugaWapi nyie wafugaji
Mashabiki Wasimba ni mabingwa kwa unafiki,hamna msimamo wa kile mnachokiongea mnakuwa kama homa za vipindi. Siku mkishinda match mnasifia timu yenu kuanzia kocha mpaka Wachezaji wote ikitokea mkifungwa mnabadilika mnasema timu yote mbovu na kocha hafai.Simba wanahitaji maboresho Sana kwa kweli.
Never lose hopeNgoja nikaangalie mpira wa Spurs, hapa mmeishalala
Unajiuliza sababu ya kumpanga KIBU ni ipi???? Tangu mechi na Berkane na hii ya leo ni ipi???? KOCHA HAKUNA HAPA MKUUIkiwezekana afungishwe virago mapema kabla hajasababisha majanga zaidi!
Hujui kitu, ni heri Gendarmerie ashinde kuliko Berkane.Gendarmerie alishinda tuu,safari imewakuta