Mgomo baridi wa wachezaji wa Simba ndio umesababisha matokeo mabovu dhidi Asec Mimosa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,262
12,763
Asante sana Mchezaji mwandamizi wa Simba sc uliyenipenyezea hii taarifa na kunisihi sana nisije kuweka wazi jina lako.

NALIA NGWENA nakuahidi sitoweka jina lako hadharani kwa hizi taarifa muhimu na kuntu ulizonipenyezea hakika wewe ni chanzo changu makini na hujawahi kunidanganya.

Sababu ya wachezaji kugoma /kuweka mgomo baridi kutoka kwenye chanzo changu Cha ndani ni kuwa wachezaji waliahidiwa bonuses kubwa kama ulivyo utamaduni wetu katika timu zetu kuziahidi mazuri timu haswa pale zinapokutana na Timu za kimataifa au Derby ndani ya ligi.

Viongozi wa Simba sc waliwaahidi wachezaji bonasi katika michuano ya AFL haswa pale watapo funga walau hata magoli na kucheza vizuri Cha ajabu wachezaji wamecheza na kufunga magoli lakini bonasi walizoahidiwa hawajaona hata moja /zimepotelea mitini na viongozi wapo kimya Kama vile hawakutoa ahadi hiyo.

Sasa wachezaji wameanzisha mgomo baridi, na kweli katika jicho la kiufundi wa mpira ukitazama wachezaji wanavyocheza Ni tofauti kabisa na wale waliocheza katika michuano ya AFL.

Kudroo na Namungo tunaweza kusema ni uchovu wa Derby maana hata mpinzani wao Yanga alipata point tatu kwa tabu sana.

Mechi ya Asec Mimosa imenifanya nijithibitishie kuwa wachezaji Wana mgomo baridi na huu mgomo utakwisha endapo watapewa bonasi zao.

Nawasilisha taarifa.
 
Ili wafanyaje? Kwa uzee wao Wangecheza vizuri against mtani halafu wakacheza vizuri klab bingwa kisha wakakumbusha kuhusu bonus zao ingekuwa na maana.

Sasa wao wamesababisha wanaoleta viingilio wasije hata uwanjani hata hizo bonus zinapatikanaje?...
KIONGOZI UMEONGEA KWA UCHUNGU SANA.
 
Mambo ya ajabu kabisa, Yaani mpira wetu huu, wachezaji wanataka bonance kwa kutolewa na Al Ahly? Au kuingia Makundi? Nani mjinga kawaahidi bonance kwa matokeo hayo? Wapewe bonance kumfunga ihefu?

Yaaani mishahara mikubwa na kupata sare na Al Ahly wanataka bonsnce? Viongozi walioahidi hayo ndio wapuuzi.. nini cha maana wachezaji wamekifanya hadi wagomee au wacheze chini ya kiwango.

Kama mpira wetu utaendeshwa hivi basi itakuwa shida baadaye kubwa. Utuoe sare na Al Ahly utolewe halafu udai pesa? Viingozi waweke killa kitu kwenye mkataba sio bonance za hovyo.

Simba msimu huu wamefanya yapi ys ajabu? Ili tuwafikirie wachezaji wanahitaji motisha? Kama ni hayo basi hakuna timu hapo kuanzia uongozi hadi wachezaji.
 
Asante sana Mchezaji mwandamizi wa Simba sc uliyenipenyezea hii taarifa na kunisihi sana nisije kuweka wazi jina lako.

NALIA NGWENA nakuahidi sitoweka jina lako hadharani kwa hizi taarifa muhimu na kuntu ulizonipenyezea hakika wewe ni chanzo changu makini na hujawahi kunidanganya.

Sababu ya wachezaji kugoma /kuweka mgomo baridi kutoka kwenye chanzo changu Cha ndani ni kuwa wachezaji waliahidiwa bonuses kubwa kama ulivyo utamaduni wetu katika timu zetu kuziahidi mazuri timu haswa pale zinapokutana na Timu za kimataifa au Derby ndani ya ligi.

Viongozi wa Simba sc waliwaahidi wachezaji bonasi katika michuano ya AFL haswa pale watapo funga walau hata magoli na kucheza vizuri Cha ajabu wachezaji wamecheza na kufunga magoli lakini bonasi walizoahidiwa hawajaona hata moja /zimepotelea mitini na viongozi wapo kimya Kama vile hawakutoa ahadi hiyo.

Sasa wachezaji wameanzisha mgomo baridi, na kweli katika jicho la kiufundi wa mpira ukitazama wachezaji wanavyocheza Ni tofauti kabisa na wale waliocheza katika michuano ya AFL.

Kudroo na Namungo tunaweza kusema ni uchovu wa Derby maana hata mpinzani wao Yanga alipata point tatu kwa tabu sana.

Mechi ya Asec Mimosa imenifanya nijithibitishie kuwa wachezaji Wana mgomo baridi na huu mgomo utakwisha endapo watapewa bonasi zao.

Nawasilisha taarifa.
Uto kwa uchochezi hamjambo. Mnataka mubaki peke yenu giant kwenye ligi?
Mkibaki peke yenu na ubora wenu utapotea.
 
Huo mgomo baridi wamekwambia suruhisho Nini
 
Acheni visingizio vya kipumbavu hakuna timu isiyofungwa duniani, Simba ndipo uwezo wao ulipofika.

Kwa hiyo unataka kuniambia leo hii ukiwapa hao wachezaji shilingi milioni 10 kila mchezaji basi watachukua kombe la Afrika bila shaka jibu ni hapana, uwezo ndio mdogo hayo mengine ni visingizio tu.
 
Ili wafanyaje? Kwa uzee wao Wangecheza vizuri against mtani halafu wakacheza vizuri klab bingwa kisha wakakumbusha kuhusu bonus zao ingekuwa na maana.

Sasa wao wamesababisha wanaoleta viingilio wasije hata uwanjani hata hizo bonus zinapatikanaje?...
KAMA WAMEZEEKA KWA NINI WALISAJILIWA.
 
Back
Top Bottom