FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Hawa jamaa wanangoma kubwa balaa.

Wale Beluzidad walikuwa na ngoma yao ikipigwa Inasikika Benjamin Mkapa yote
Wakiingia wawili tu Kwa mkapa. Wanakalisha utitiri wa wabongo.

Sisi tunapenda kukosoa kuliko kusupport
 
Hawa jamaa wanangoma kubwa balaa.

Wale Beluzidad walikuwa na ngoma yao ikipigwa Inasikika Benjamin Mkapa yote
Yanga hana malengo na hii match ili alike nusu anajitaji kuwa namba ya pil sio kuongoza kundi ili asikutane na simba bali TP Mazembe ndio target ya yanga
 
Waweke hadi mama zao ikiwezekana, Yanga kipindi cha Pili wanaoamini majini Leo ndio watayaona live.
Hizi kauli nyingine bwana.

Tuchukulie kwamba uliiamini Yanga hata ukamweka mama yako, huoni dalili za kuliwa hapo?

NB: Tuna assume kwamba ulimuweka kwenye hiyo bet kama ulivyokuwa unashauri watu hapo juu.
 
Yanga hana malengo na hii match ili alike nusu anajitaji kuwa namba ya pil sio kuongoza kundi ili asikutane na simba bali TP Mazembe ndio target ya yanga
we nyoko simba huendi robo fainali...mbona mnajitoa ufahamu nyie makolo!? robo fainali huendi kolo...kesho hutoamini
 
Back
Top Bottom