RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,761
"JAMBA LEO" Limejamba kweli kwa tarehe ya leo... I wish wote tungekuwa na ufahamu kidogo kuhusu vita! Wanazuoni wa kichina wanasema kuwa kwenye Vita huwa hakuna Mshindi wala alieshindwa bali pande zote hutokea majeruhi na vifo!...Vita vya kagera vimetufanya tu chechemee kiuchumi mpaka sasa! ...