Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Kipi kipya katika vifaa vilivyo onyeshwa? Mwandishi au hao wanao sema Tanzania si Mchezo wameona vifaa walivyonavyo wenzetu/ maadui wetu?
Kumbe lengo la kuonyesha vifaa vya kivita lilikuwa ni kuwatisha maadui wetu walioonyeshwa kwenye gazeti la Habari Leo?

Watanzania...... na akili fupi????

Mtu mzima anatishiwa nyau
 
Hivi lengo la ile military display ilikuwa ni nini haswa?? kuwatisha nchi nyingine au?
Huu ni uchochezi wa kipumbav sana, na ntashangaa kama idara husika haitatolea maelezo suala hili.
nchi za jirani kama rwanda zina ubalozi na yote haya wanayaona.
We better be careful kwakweli.
 
Wapendwa wana jamii poleni na majukumu.

Ndugu zangu ktk hali ya kushangaza, gazeti la kilasiku la Jamboleo limeandika kichwa cha habari kisemacho hivi. "MAADUI HOI" pembeni kukiwa na picha za maris ambao ni jirani zetu huku uso wa gazeti zima ukiwa umepambwa na zana za kivita, marais hao ni Rupia Banda, Mseven,Kagame na Sam Nujoma,limenadi kuwa Sam Nujoma na Banda eti wamesema Tanzania si mchezo, ndugu zangu watanzania wenzagu hapa kidogo hii imenipa shishida.

Swali ni je! adui yetu hapa ni nani kati ya marais waliobandikwa picha zao kwenye gazeti hili? Mtakumbuka gazeti hili limelalamikiwa mara kadhaa na wadau wengi wapendao amani kwa kushadadia issue ya Kagame na Jk. Naamini ni wakati sasa kwa vyombo husika na wapenda amani kulaani vitendo vya aina hii kwani vikiachwa viendelee, hali hii yaweza kutuingiza kwenye marumbano na hatimaye machafuko.
 
Siku hizi yapo magazeti mengi ya tanzania yanaandika comedy sana hili nalo limo lingine ni tanzania daima kunawakati mwananchi nalo lilikuwa kama haya baadaye likajirudi sishangai ndiyo wanahabari wetu wa siku hizi.
 
Ni kukosa hekima. Natumaini Yule anayefungia magazeti atachukua hatua stahiki. Pengine pia angetuhakikishia kuwa hao anaowonyesha katika picha majeshi yao hayana vifaa hivyo. Wakati mwingine ni vizuri kufikiria kwa hekima kabla ya kutenda. Nchi zinazotuzunguka Katibu zote hazijui amani na wanaishi kwa nguvu za majeshi yao. Unafikiri majeshi yao yatakuwa na vifaa hafifu! Mwisho sidhani kama maonyesho yaliyofanywa na JWTZ nia yake ilikuwa anayoifikiria mhariri wa JamboLeo!
 
Mbona Kenyata hajaweka picha yake ameogopa? maana Kenya wenzetu wapo juu kama jinsi inavyojionyesha hapa chini.

View attachment 154629 Kenya 3537-kismayo-02.jpg View attachment 154620 Kenya 3.jpg View attachment 154622 View attachment 154623 View attachment 154624 View attachment 154625 kenya-army-wz-551-apc-easternafricafiles-photo.png View attachment 154627 View attachment 154628
 
Siku hizi yapo magazeti mengi ya tanzania yanaandika comedy sana hili nalo limo lingine ni tanzania daima kunawakati mwananchi nalo lilikuwa kama haya baadaye likajirudi sishangai ndiyo wanahabari wetu wa siku hizi.

Unaweza kututajia habari yeyote ya uchochezi iliyowahi kuandikwa na gazeti la Tanzania Daima? maana nyie maCCM mnapoona gazeti linalowashabikia limekosea mnataka kuambukiza na mengine ni vema sasa Sheria zilizochukuliwa juu ya -----------, Mwananchi na Mtanzania zikachukua nafasi yake kwa hili gazeti la JAMBA LEO.
 
Majeshi yapo israel mtu anakaa burundi anatuma kitu kinaangukia magogoni wakitwa watu wenye majeshi imara yasyokuwa na chembe ya siasa na vyombo vya kisasa na sie tumo?
Na mie nashanga.Aibu tupu ukichanganyia na uelewa mdogo wa waTz wanadhani eti jeshi lna vifaa hatari sana sijui vipi kuhusu Libya ,Nigeria,South Africa majeshi yao vifaa tusemeje?
 
Sasa vile vifaru vichache ndio imekuwa keesi hebu iyacheni Tanzania vifaru vyenyewe kutu zilizidi afadhali hata vimetembea kdg.
 
Kama silaha hizi zinaonekana magazetini kwanini Wanajeshi waliwapora simu wananchi waliokuwa wanajirekodia matukio siku ya sherehe?
 
Jambo Leo ni mshirika wa Serikali na CCM hawatachukuliwa hatua labda kama yangekua magazeti mengine.
 
Hapa hata kama ni sifa, basi ni zile waliimba ...sifa za kijinga...
 
Wakuu salama!

Nimeshitushwa sana na mwenendo wa front page za hili gazeti sielewi lengo nini? kama uhusiano na mataifa hayo ingawa ulikuwa mbaya hapo nyuma sasa ni mzuri kiasi au sana lakini hili gazeti limengangana na maneno ya uchochezi tuuuuuuuuuuuuu

Ni swala la kukemea jambo hili sio nzuri na usalama wa nchi nasoma magazeti ya nchi jirani sioni wakiponda sasa Tanzania!

Kwako mhariri andikeni habari za ndani zenye malengo either ya maendeleo, siasa n.k na sio kuchochea tu hisia.

Asante nimekasirika sana.
Usikasirike, tafuta toleo la Jumapili inayokuja usuuze moyo kwa makala ya mdau Willy Malecela akimzodoa mzee Warioba.

Ndiyo magazeti yetu hayo.
 
Wakuu salama!

Nimeshitushwa sana na mwenendo wa front page za hili gazeti sielewi lengo nini? kama uhusiano na mataifa hayo ingawa ulikuwa mbaya hapo nyuma sasa ni mzuri kiasi au sana lakini hili gazeti limengangana na maneno ya uchochezi tuuuuuuuuuuuuu

Ni swala la kukemea jambo hili sio nzuri na usalama wa nchi nasoma magazeti ya nchi jirani sioni wakiponda sasa Tanzania!

Kwako mhariri andikeni habari za ndani zenye malengo either ya maendeleo, siasa n.k na sio kuchochea tu hisia.

Asante nimekasirika sana.

attachment.php
mkuu kweli sio vizuri kwa taarifa hizi. Goliath alikuwa na silaha za kila namna akaja pigwa na Daudi mwenye kombeo! Kwa mfano waweza kuta nchi kama Malawi tukasema kuwa tutaichapa kumbe wapi!! refer Israel! hakuna nchi anawza pigana na Israel akashinda hiyo vita. Tunapokuwa na jeshi zuri na zana nzuri watawala wetu lazima waishi kwa weledi mkubwa ili Mungu awe upande wao/wetu pindi mambo mabaya kama vita yakitokea basi Mungu awe msaada.
 
Nasikia hili gazeti linamilikiwa na PRINCE,

Wakuu salama!

Nimeshitushwa sana na mwenendo wa front page za hili gazeti sielewi lengo nini? kama uhusiano na mataifa hayo ingawa ulikuwa mbaya hapo nyuma sasa ni mzuri kiasi au sana lakini hili gazeti limengangana na maneno ya uchochezi tuuuuuuuuuuuuu

Ni swala la kukemea jambo hili sio nzuri na usalama wa nchi nasoma magazeti ya nchi jirani sioni wakiponda sasa Tanzania!

Kwako mhariri andikeni habari za ndani zenye malengo either ya maendeleo, siasa n.k na sio kuchochea tu hisia.

Asante nimekasirika sana.

attachment.php
 
Vita ni technologia sio exbition wala ukubwa wa jeshi.hata taifa stars ukiwakuta wanapasha utawakubali lakin kila siku wanachezea vichapo
 
Kama silaha hizi zinaonekana magazetini kwanini Wanajeshi waliwapora simu wananchi waliokuwa wanajirekodia matukio siku ya sherehe?

kama uliloandika lina chembe yoyote ya ukwel basi wanajeshi hao ni wap..uzi
 
Frema,
Kama gazeti lenyewe contributors wake ni akina WJ Malecela unadhani litakuja na heading yenye maana?

That's the type of the editors we have in this part of the world! For them sensationalism constitutes professional journalism. Shame upon them!
 
Kwa hiyo huyu Mhariri wa gazeti anataka kutwambia hao Marais ambao picha zao zimewekwa hapo ndio maadui wa Tanzania? Si ajabu kesho ukasikia huyu Mhariri anateuliwa kuwa balozi kuwakilisha Tanzania nchi za nje!!!!

Tiba

Tatizo la kuwa na wahariri wanaofikiria kwa kutumia tumbo. Haya magazeti ndio yalipaswa kufungiwa muda mrefu sana, ila kwasababu yana maslahi na Ma-CCM yanaachiwa yanapeta. Ni kukuza magomvi yasiyo na tija.
 
Back
Top Bottom