Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Huwa nakumbuka signature ya mwana JF mmoja inasema "kumchagua m.kwere watanzania tumepaka wanja wa pilipili"...
 
Hapa ndipo tulipofika kama Taifa,Oh wait...We are a nation of low IQ morons with not more than 72 scores,No wonder we are behaving like retards!
 
makoye,mm napingana naww kabisa,maana kila jambo jema,mnaweka chuki zenu zakisiasa,dunia imebadirika hii cyo miaka yakujifungia,mm bila kuweka itikadi,yasherehe hizo,nampongeza rais kwann amenituonyesha ukakamavu wa jeshi letu,cyo tuna wackia tu,huko wanako shiriki maswala amani,kuwa jwtz wamefanya vizuri,ila kama naww niadui wanchi hii habari hii,itakugusa kikulacho kinguoni mwako,tanzania tuna marafiki namaadui,kwanamna hiyo cyo wote wanaopendezwa na amani iliyopo,ambayo inakufanya uongee hayo unayo yaongea,acha propaganda chafu.
 
Tunajiandalia maadui wenyewe. Ni kwa neema tu kuvuka salama chini ya utawala huu wa majivuno, kiburi na ulevi wa madaraka. Gazeti la mbuge mtoto wa rais linaandika ----- namna hii! Na serikali hiko wapi? mifukoni mwao? Nauliza usalama wa taifa mko wapi? ....
usalama wa taifa tuko vizuri......hayo ni maneno ata kwenye kanga yapo
 
Kwa habari kama hii gazeti hili lipewe adhabu, huu ni uchochezi na uchokozi.
 
Wakuu salama!

Nimeshitushwa sana na mwenendo wa front page za hili gazeti sielewi lengo nini? kama uhusiano na mataifa hayo ingawa ulikuwa mbaya hapo nyuma sasa ni mzuri kiasi au sana lakini hili gazeti limengangana na maneno ya uchochezi tuuuuuuuuuuuuu

Ni swala la kukemea jambo hili sio nzuri na usalama wa nchi nasoma magazeti ya nchi jirani sioni wakiponda sasa Tanzania!

Kwako mhariri andikeni habari za ndani zenye malengo either ya maendeleo, siasa n.k na sio kuchochea tu hisia.

Asante nimekasirika sana.

attachment.php

Kazi ya riz, haihojiwi ikulu.
 
Dah kweli badala yakuwaonyesha wataalamu na ubunifu we2 mpya eti tunawaonyesha vifaru walivo unda wao.maskini tz.
 
Jamani siri ya jeshi wanao ijua ni wanajeshi wenyewe.Niwakumbushe kitu kimoja kwamba wakati tunapigana na NDULI IDD AMINI DADA Watanzania tulikuwa na vifaa ambavyo cyo duni kivile lakini ndugu yetu AMINI alikuwa na ARMLY EQUIPMENTS ambazo zilikuwa bora zaidi kwa wakati huo, na IDD AMINI angelkuwa na wataalamu wa kuvitumia ni dhahili kabisa kwamba vita kati yake na TANZANIA isingemchukua hata wiki moja na angeshinda kwa kishindo.Lakini kwa kuwa alikuwa na vifaa bora vya kivita ila akawa hana skilled labour ndani ya jeshi lake ndiyo maana alipigwa na baadhi ya equipments zake ndo zilizotumika kumpiga baada ya kuwa zimekamatwa na watanzania ambao miongoni mwao walikuwepo watu ambao walikuwa skilled kuweza kutumia vifaa bora vya IDD AMINI DADA.Kwa hiyo jamani vita ina uwanja mkubwa sana wa kuuelezea na siyo kuegemea tu kwenye zana za kivita.
 
Thanks mkuu!
 
Nimeambiwa linafadhiriwa na riziwani yule muuza sembe na baba yake. Huoni ikulu haijawahi kulionya? Unadhani ingekuwa ----------- ingekuwaje hapo? Nakujibu kuwa ingekuwa mwendo wa tindikali na mabwe pande na milolongo ya barua za ONYO KALI......Hii nbi nchi ya kusadikika
Huu ni ujinga uliokubuhu , katafute wajinga kama wewe uwaaminishe huna cha kuandika.
 
gazeti za intarahamwe linachochea chuki na uadui dhidi ya majirani zetu na serikali inakaa kimya.

hivi ikulu ndo imekua pango la walevi wa madaraka kiasi hichi???
 
Mimi mwenyewe nimesitushwa sana na picha hizo bora wageweka tu hayo maneno na kuacha kuweka picha! wakat banda alikuwepo kwa sherehe n.k

Imenisikitisha sana.

My God! Hawa watu sasa wamepagawa, akili nehi! Kwanza hawafikirii kwamba ndio wanachokoza watu hapo? Ina maana hao picha zao zilizobandikwa hapo ndio maadui! Watu wamekuja kwa upendo, halafu wanakuja kuitwa maadui loh! Bora Mungu akunyime vyote lakini akue akili na hekima, hawa jamaa zetu kichwani pyuuuu
 
Huyo mhariri hajui kwamba Sam Nujoma sio raisi wa Namibia.
Unajua Tanzania kutokana na historia tuliyopitia ni watu wachache waliobahatika kusoma, na kati ya hao waliosoma ni idadi ndogo pia waliobahatika kuelimika. Sasa mfumo huu unawezesha wale wenye VYETI kushika nafasi za maamuzi huku walioelimika wakibaki kuamuliwa na hawa (sheria ndizo zinasimamia).
Sasa hata wenye nia njema na wanataka kujifunza wanaishia kuwaona wapuuzi wachache huku wenye vitu vizuri wakifichwa nyuma ya hawa. Ndio maana Prof. Kabudi kakemea kuwa tusikubali (kama jamii) kuwarithisha ujinga wetu kizazi kijacho!

jambo leoa
uhuru
dairy news
tazama
habari leo
mzalendo
dira ya mtanzania
rai
mtanzania
jamuhuri la ndugu yangu jackton manyerere hayafai hata kufungua maandazi hata nikinunua raiamwema huwa namsoma johnson mbwambo tu

hapo kwenye RAIA mwema naomba tutofautiane kidogo,binafsi naona waandishi wake wengi wanazingatia weledi wa fani yao ktk makala zao nyingi.
 
Back
Top Bottom