Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
- Kaka ukweli ni kwamba ile ilikuwa show maalum kwa ajili ya UKAWA ndio maana imekuuma sana kumbe ujumbe ulifika, ujumbe ni kwamba kabla hujavunja Muungano utapambana na ile kitu yenye ncha kali sana, u know!!
Le Mutuz System
Wange weka basi picha za wakuu wa ukawa ndo wqkajua Tnz ilivyo yetu sote. Ila iyo system yako ina walakini mkuu.