Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Frema,
Kama gazeti lenyewe contributors wake ni akina WJ Malecela unadhani litakuja na heading yenye maana?

Limenisikitisha sana, na yule mnyakyusa mweneye kichwa kikubwa habari maelezo atasema kitu hapo...lingekuwa lingine kwa upande fulan angeandika hadi kwenye facebook page yao.!

Ni shidah sanaaa.
 
mhariri huyo chizi kweli.....utaandikajw hvyo...na pua utaawaoneshaje hao anao sema madui wa tanzania
 
Kwa serikali ya ccm wala hutasikia gazeti hilo linafungiwa
 
Wote wenye mlengo huu wa propaganda ni bora kukumbuka kuwa haya yalikuwa maonyesho ya siraha za kivita na haikuwa vita.
Ukitaka kujua tofauti ya maonyesho na vita kawaulize jirani zetu pale WESTGATE wawaambie kuwa ni wahuni wangapi waliotetemesha nchi kwa siku kumi na 'vibastora'! Ujinga mwingine bwana, nadhani ni Tanzania tu.
 
Tatizo la kuvuta bangi asubuhi kabla ya kukaa nyuma ya "keyboard" na kuchapisha pumba.

Mwenye akili hajisumbui kusoma huo upuuzi kwa hilo gazeti

"War mentality" inaunganishwa vipi na sherehe za muungano?

Wakati China wanaadhimisha miaka 60 ya Uhuru niliona mizinga na vifaa vya kijeshi vya Tz cha mtoto, mbona hapakuwa na fallacy za kipuuzi kama hizi???

Serikali isifumbue macho upuuzi huu kwani huleta "insecurity among civilians and war mentality among rival sides"

Endapo serikali itaendelea kufunga mdomo juu ya hizo fallacies and propaganda, sichelei kuwaza hao waandishi wametumwa na serikali kutia "chumvi mboga" ili inoge.
 
Moja kati ya sababu nyingi nilizopata kuzisoma zilizochangia kuzuka kwa vita vya kwanza vya dunia ni ""The Role of Mass"" on spreading propaganda and creating rivarly, tuwe making sana, vyombo vya habari vikitumiwa hovyo hovyo vinazaa hovyo hovyo, vikitumiwa safi safi vinazaa safi safi
 
gazeti la kina ridhiwani hilo,huwa halina habari zaidi ya kuchochea mara Kagame mara sijui kipi ila cha kushangaza habari maelezo na kina salva rweyemamu wapo kimya hawawezi toa hata kitamko
wanasubiri chadema wamsifie JK ndio waje na udaku wa habari ya kurugenzi IKULU shame on you SALVA na habari maelezo
 
Gazeti limekaa kichochezi, vifaa vikiwa tishio kwa mwandishi na mhariri basi wanadhani ni kila mtu anatishika navyo, ninamashaka na utashi wa waandishi wa hilo gazeti, usishangae ukiambiwa hata hapo uwanjani hawa waandishi walichafua hewa kwa hofu

Kipi kipya katika vifaa vilivyo onyeshwa? Mwandishi au hao wanao sema Tanzania si Mchezo wameona vifaa walivyonavyo wenzetu/ maadui wetu?
Kumbe lengo la kuonyesha vifaa vya kivita lilikuwa ni kuwatisha maadui wetu walioonyeshwa kwenye gazeti la Habari Leo?

Watanzania...... na akili fupi????
 
Hizo picha zilizoonyeshwa, wakiamua kurusha makombola tena kwa Serikali ya Mh Dhaifu, mtalalamika tena? Gazeti halioni kuwa linafanya kazi ya Milembe sorry Membe kuwa ngumu?
 
Wote wenye mlengo huu wa propaganda ni bora kukumbuka kuwa haya yalikuwa maonyesho ya siraha za kivita na haikuwa vita.
Ukitaka kujua tofauti ya maonyesho na vita kawaulize jirani zetu pale WESTGATE wawaambie kuwa ni wahuni wangapi waliotetemesha nchi kwa siku kumi na 'vibastora'! Ujinga mwingine bwana, nadhani ni Tanzania tu.

Umenena Mkuu, hao wahariri wananikumbusha zamani wakati naangalia mpira daraja la 4 pale uhuru Mchanganyiko nikiwa na wenzangu tulikuwa tunaamini timu iliyovaa jezi nzuri ndiyo itashinda..........
 
Back
Top Bottom