Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,191
Tatizo la kuwa na wahariri wanaofikiria kwa kutumia tumbo. Haya magazeti ndio yalipaswa kufungiwa muda mrefu sana, ila kwasababu yana maslahi na Ma-CCM yanaachiwa yanapeta. Ni kukuza magomvi yasiyo na tija.
Yaani huyu Mhariri diplomacy yake ni zero kabisa na wahusika wanachekelea tu bila kujua ni to what extent our neighbours relationship is being put at risk. Ili gazeti linapashwa kufungiwa kwa upuuzi walioandika bila kujali linamilikiwa na nani.
Tiba