Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Usikasirike, tafuta toleo la Jumapili inayokuja usuuze moyo kwa makala ya mdau Willy Malecela akimzodoa mzee Warioba.

Ndiyo magazeti yetu hayo.

Aggrrrrrrrrrrrrr!!!

Nilijua willy gamba kumbe ni huyo mzee! nitakasilika zaidi.
 
Rafiki wa Mhariri huyo Ritz ameshaanza kuchukua nafasi ya Salva. Usikute habari hiyo imetengenezwa nyumba kubwa kwa fikra kuwa italeta mvuto kwa wananchi hivyo kapewa yeye aipeleke huko. Na kwa vile wahariri na waandishi wa huko hawahoji lolote basi wakaitoa kama walivyo ambiwa.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Huyu mwandishi ni mchochezi hilo jina la uchochezi ni la kwake kabisa na linamfaa.Watu wanafkri wenzao hawana silaha na wamelala tu na hawajui kupigana.Ghadaf alikuwa na vifaa vya kijeshi vya hatari lakini yuko wapi?vita ni mbinu na sio siasa za uonevu kama mnvyoonea chadema amabao hawana hata panga!!
 
Hili gazeti lazima serikali ilipe adhabu ya kufungiwa kwa uchochezi.
La sivyo tutahitimisha kuwa wametumwa Na serikali!
 
Hili gazeti lazima serikali ilipe adhabu ya kufungiwa kwa uchochezi.
La sivyo tutahitimisha kuwa wametumwa Na serikali!

Ngoja tuone!

Kwa magazeti mengine chukueni hii kama ushahidi siku mkikosea mkahadhibiwa uwe ushaidi kwen..!!
 
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na gazeti moja lina connect Tz na njama za Kizito kumpindua PK (nadhani ni la Rwanda) Kuna magazeti yanapenda kuwa kuni za kuchochea vita....ndio maana Kenya waandishi wamepelekwa The Hague...

Na kwa serikali hizi mbili kukaa kimya inafanya nihisi viongozi hawa wawili wanatumia magazeti kupigana vijembe...
 
Mimi nashangaa sana ushamba huu wa viongozi wetu, ingekuwa Tanzania wanatengeneza vifaa hivi wenyewe hapo sawa lakini vifaa vyrnyewe vimetengenezwa na nchi nyingine halafu unatamba? Upumbavu mkubwa.
 
Kwanini msimuachishe kazi huyu mhariri kwakuwa huu ni uchochezi maana inaonekana kuweka sura za marais nikuongeza chuki juu ya chuki!huu ni uhariri mfu usiozingatia maslai ya Taifa.Ingekuwa gazeti jingine mngesikia mkurugenzi wa habari akitangaza kufungia gazeti kwa wiki 14!Hapa ataziba masikio tu!
 
shida ya wanahabari makanjanja ndio hiyo
 
Wakichorwa na Gado wakiwa wanalamba viatu vya JK wanakuja juu.. Mapuruzai kabisa..
 
Ndivyo jamii za Watanganyika na Wazanzibari zilivyo. Ukitaka kupata picha kamili ya jamii hizi usiende mbali - angalia hilo Bunge Maalimu la Katiba, habari zinazopewa uzito wa juu katika vyombo vya habari, mahojiano katika vipindi vya luninga, akina JK na washauri wake wakuu kv Lukuvi, Wassira, 'Chemba, Nepi, nk, nk. Unaweza kuelewa kwa nini jamii hizi mbili ni maskini na kwa nini zitaendelea kuwa maskini kwa karne nyingine!!!
 
Binafsi nachukizwa sana na siasa nyepesi zinazoenezwa na hayo magazeti...

hivi nguvu ya vita inapimwa kwa maonyesho?

Wanaacha kuhamasisha vitu vya maana wanaendekeza fikra za kitoto

pathetic fool
 
Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM kwa kuandika habari za kichochezi kama hizi.
Haingii akilini hata kidogo kuwaalika Marais au wawakilishi wao kwenye sherehe za Muungano wa Miaka 50 halafu uwaonyeshe Sialha za Kuwatisha!!!

Mwalimu NYERERE(RIP) kwa Muungano huuhuu wa Tanganyika na Zanzibar alikuwa akimaanisha Afrika yote iungane na siyo Tanganyia na Z'bar peke yake. Kwa maana hiyo kuwatishia JWTZ nchi zingine ambazo ni MAJIRANI ZETU ni kuonyesha JINSI SERIKALI YA CCM ISIVYO ELEWA MAANA YA MUUNGANO!!!!JWTZ imekuwa ndiyo MWAVULI na KINGA ya kuilinda CCM iendelee kuwepo madarakani hata kwa miaka mingine 50! Tumewasikia LUKUVI na Rais KIWETE wakiwatisha na JWTZ na MAJIRANI hali kadhalika.

Hii ni picha kamili ya kwanini hata RASIMU YA KATIBA YA SERIKALI 3 CCM HAWAITAKI!!! Mimi nilisahngaa sana juzi kwenye sherehe hizo za Muungano kwa kutangaza kuwa SHEREHE ZA MUUNGANO ZILIJAA MBWEMBWE ZA KIJESHI NA MAJIGAMBO KUWA,''ATI ATAKAYE CHEZEA MUUNGANO ATAKIONA CHA MTEMA KUNI!''

Tunasubiri Arthur Mwambene ataoe tamko mbele ya Press conference kuwa Gazeti hili la Habari Leo linafungwa immediately kuanzia leo. Hakuna mjadala!!!!
 
Back
Top Bottom