Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

Front Page Ya Jambo Leo Ya Leo Ni Hatari Kwa Taifa

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Wakuu salama!

Nimeshitushwa sana na mwenendo wa front page za hili gazeti sielewi lengo nini? kama uhusiano na mataifa hayo ingawa ulikuwa mbaya hapo nyuma sasa ni mzuri kiasi au sana lakini hili gazeti limengangana na maneno ya uchochezi tuuuuuuuuuuuuu

Ni swala la kukemea jambo hili sio nzuri na usalama wa nchi nasoma magazeti ya nchi jirani sioni wakiponda sasa Tanzania!

Kwako mhariri andikeni habari za ndani zenye malengo either ya maendeleo, siasa n.k na sio kuchochea tu hisia.

Asante nimekasirika sana.

attachment.php
 
Attachments

  • Jambo.jpg
    Jambo.jpg
    46.7 KB · Views: 11,203
Ukisikia mgema tembo ukilisifia hulitia maji basi ndiyo inatokea Tanzania kwa sasa.

Sidhani kama exhibition ya army tools inatosha kupima uwezo wa jeshi kupigana, kuna mambo mengi ya kuangalia pia ikiwemo Technical skills,.
 
Kwa hiyo huyu Mhariri wa gazeti anataka kutwambia hao Marais ambao picha zao zimewekwa hapo ndio maadui wa Tanzania? Si ajabu kesho ukasikia huyu Mhariri anateuliwa kuwa balozi kuwakilisha Tanzania nchi za nje!!!!

Tiba
 
Mimi mwenyewe nimesitushwa sana na picha hizo bora wageweka tu hayo maneno na kuacha kuweka picha! wakat banda alikuwepo kwa sherehe n.k

Imenisikitisha sana.
 
Nimeambiwa linafadhiriwa na riziwani yule muuza sembe na baba yake. Huoni ikulu haijawahi kulionya? Unadhani ingekuwa ----------- ingekuwaje hapo? Nakujibu kuwa ingekuwa mwendo wa tindikali na mabwe pande na milolongo ya barua za ONYO KALI......Hii nbi nchi ya kusadikika
 
Kaka angalia thread yangu utaelewa maana yake nini.kuna jambo kubwa limetokea ila wanajaribu kulificha
 
Kwa hiyo huyu Mhariri wa gazeti anataka kutwambia hao Marais ambao picha zao zimewekwa hapo ndio maadui wa Tanzania? Si ajabu kesho ukasikia huyu Mhariri anateuliwa kuwa balozi kuwakilisha Tanzania nchi za nje!!!!

Tiba

mhariri ni rafiki ya ritz1
 
huyu mwandishi wa hili gazeti hajui kutumia tafsida kuwasilisha mada nyeti kama hiyo mbele ya kadamnasi.......

nadhani ni walewale product ya ZOOMZOOM POLYTECHNIQUE COLLEGE,,,, maana hata gazeti lenyewe mpaka board yake ya uharriri hawajaliona hilo.
 
Gazeti limekaa kichochezi, vifaa vikiwa tishio kwa mwandishi na mhariri basi wanadhani ni kila mtu anatishika navyo, ninamashaka na utashi wa waandishi wa hilo gazeti, usishangae ukiambiwa hata hapo uwanjani hawa waandishi walichafua hewa kwa hofu
 
Ukisikia mgema tembo ukilisifia hulitia maji basi ndiyo inatokea Tanzania kwa sasa.

Sidhani kama exhibition ya army tools inatosha kupima uwezo wa jeshi kupigana, kuna mambo mengi ya kuangalia pia ikiwemo Technical skills,.

Majeshi yapo israel mtu anakaa burundi anatuma kitu kinaangukia magogoni wakitwa watu wenye majeshi imara yasyokuwa na chembe ya siasa na vyombo vya kisasa na sie tumo?
 
jambo leoa
uhuru
dairy news
tazama
habari leo
mzalendo
dira ya mtanzania
rai
mtanzania
jamuhuri la ndugu yangu jackton manyerere hayafai hata kufungua maandazi hata nikinunua raiamwema huwa namsoma johnson mbwambo tu
 
Mimi mwenyewe nimesitushwa sana na picha hizo bora wageweka tu hayo maneno na kuacha kuweka picha! wakat banda alikuwepo kwa sherehe n.k

Imenisikitisha sana.

Frema,
Kama gazeti lenyewe contributors wake ni akina WJ Malecela unadhani litakuja na heading yenye maana?
 
Back
Top Bottom