From Aggrey Mwanri with love.. Down the lane memory

Huyu mzee namfahamu sana na namkubali sana.Pamoja na kuwa amekuwa rafiki mkubwa wa baba yangu toka ujana wao na hivyo kuwa karibu na familia yetu, bali pia maandiko yake na mtazamo wake juu ya lugha na ustaarabu nimekuwa nazipenda tokea zamani. Hata ilifikia niakmuomba laptop aliyoitumia kuandika kitabu cha Alfu Lela U Lela iwe kumbukumbu yangu na akanipa. Nilifurahi sana aisee
 
Hii sukuma ndani ilikuwa ni onyo kwa watu wa kada gani, ama alikuwa anaongelea ndoa za pre mature?
Maana clip imeanzia katikati na kukatishwa;
Upo sahihi,alikua anazungumzia mabinti kuolewa badala ya kwenda shule
 
Ila kwa sasa naanza kumuelewa Jiwe aisee. Kumbe alimaanisha alipozungumzia uchizi. Huyo jamaa wa fyekelea mbali sidhani kama anafaa hata ujumbe wa house ten ten
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wale wakina mama wa chikchikchi eeeeeee chikchikchi sukuma ndani ......wale wapiga ubwabwa ivi sukuma ndani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…