Mkuu unavitolea wapi hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua unavyo ngoja nimuone kipaya book shop kama atakuwa navyoAisee huwezi amini navitafuta kweli hizi ni picha tu
Ndio mkuuPlease utanijulisha
Vipo ubungo termnal..buku 5 tukwa yeyote mwenye hivyo vitabu kwa gharama yeyote ile tuwasiliane humu navitafuta sana tena tu