From Aggrey Mwanri with love.. Down the lane memory

From Aggrey Mwanri with love.. Down the lane memory

Hiki ni kitabu cha Nne katika mfululizo wa hadithi maarufu duniani kote za Alfu Lela U Lela (au Siku Elfu Moja na Moja) zenye asili ya Arabuni na Uajemi. Masimulizi haya ya Alfu Lela U Lela yametafsiriwa kutoka matoleo ya Kiingereza na Kijerumani. Lugha hizi za Ulaya ndimo zilimotafsiriwa hadithi hizi kwa mara ya kwanza kutoka lugha za Kiajemi, Kiarabu na Kihindi. Tafsiri ya Kiingereza ilifanywa na Sir Richard Burton ambaye anafahamika huku kweta kama mmoja wa wasafiri wa kwanza kutoka Ulaya kutembelea na ati “kuvumbua” sehemu zile walizofika. Tafsiri ya kwanza ya Kiswahili ilifanywa mwaka wa 1928 na katika kufanya hivyo sehemu nyingi zilikatwa au ziliachwa makusudi bila kuzitafsiri kwa sababu wamisionari kawakutaka wasomi wa Kiswahili wasome baadhi ya sehemu kwa sababu zao wenyewe. Matoleo haya, kwa kifupi, ndiyo yenye hadithi kamilifu kwa uhakika; yaani mtiririko wa visa na maana halisi ya hadithi kama zilivyotungwa na kutafsiriwa na magwiji wa lugha hizo mbili zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Kiswahili kina bahati ya kumpata mfasiri, Hassan Adam, Mtanzania mwenye ujuzi wa lugha zote tatu zilizohusika katika kutayarisha tafsiri hizi. Bwana Hassan Adam ni mkufunzi wa miaka mingi katika Taasisi ya Lugha za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Cologne, Ujerumani.
Huyu mzee namfahamu sana na namkubali sana.Pamoja na kuwa amekuwa rafiki mkubwa wa baba yangu toka ujana wao na hivyo kuwa karibu na familia yetu, bali pia maandiko yake na mtazamo wake juu ya lugha na ustaarabu nimekuwa nazipenda tokea zamani. Hata ilifikia niakmuomba laptop aliyoitumia kuandika kitabu cha Alfu Lela U Lela iwe kumbukumbu yangu na akanipa. Nilifurahi sana aisee
 
Hii sukuma ndani ilikuwa ni onyo kwa watu wa kada gani, ama alikuwa anaongelea ndoa za pre mature?
Maana clip imeanzia katikati na kukatishwa;
Upo sahihi,alikua anazungumzia mabinti kuolewa badala ya kwenda shule
 
Ila kwa sasa naanza kumuelewa Jiwe aisee. Kumbe alimaanisha alipozungumzia uchizi. Huyo jamaa wa fyekelea mbali sidhani kama anafaa hata ujumbe wa house ten ten
 
Back
Top Bottom