Mkuu hivi hivi vitabu vinapatikana wapi!?Trending the beautiful pastView attachment 882931
Baadhi vipo online mfano Alfu Lela U lela ingawa nakumbuka nilipata cha kiingereza kiliitwa Arabian au Arabs Thousand Nights sina uhakika na jina nilikipata muda sana.Mkuu hivi hivi vitabu vinapatikana wapi!?
Alfu lela u lela...nilikisoma mpaka kitabu cha 5Trending the beautiful pastView attachment 882931
Down the memory lane sio lane memoryTrending the beautiful pastView attachment 882931
Una sh ngapkwa yeyote mwenye hivyo vitabu kwa gharama yeyote ile tuwasiliane humu navitafuta sana tena tu
Bulicheka alikua geniusNadhani bado ninavyo hivo vya alfu lela ulela kitabu cha kwanza mpaka cha tano. Pia cha Bulicheka na kina mfalme Huihui wa nchi ya Wagagigikoko.