Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,984
- 125,667
NjooDogo nitakunyoosha ujue usipende kunileta dharau kaka yako.
NjooDogo nitakunyoosha ujue usipende kunileta dharau kaka yako.
Vizuri sana mkuuYoh sikia
Tuliza kichwa kijana, maisha hayataki mchezo
Uliza watu wa jana, waleo hawana wajuacho
Wapo wapo tu kitaa, kesho yao ni mafumbo
Ukijifanya mjuzi sana, utaacha ndala bwamdogo
Ukipandisha mabega, utaishia kuwa MALEBO
Nitakukujoza, ohoooo!Njoo
NjooNitakukujoza, ohoooo!
Kukupanua?Njoo
NjooKukupanua?
Haya 😁Njoo
NjooHaya 😁
Niandalie kitu changuNjoo
🙏🙏🙏😄😄Vizuri sana mkuu
sawa sawa secretarybirdYes, anakibamia,
mfukoni anashilingi mia,
October 29 alimpa kura Samia,
na Samia kaua ndugu zake so anaumia,
yaani ukimwona utamuhurumia,
kwani changamoto alizonazo ni makumi kwa mamia 🎵🎵 😎.
Ni mwendo wa kurap mkuu.sawa sawa secretarybird
😎!
kabeesa💪Ni mwendo wa kurap mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asante mtaalamu wa masuala ya mapenzi na ndoa 😎
Nyeto huvisha najisi mwili, tena ukiwa maskini hata uwe smart vipi unakua na gundu kupitiliza kila ukitongoza utakua unapigwa za mbavu.Nyeto ndiyo hekima,
nyeto hunipa heshima,
Inaufanya umma,
ujue Sina hujuma,
So, nyeto inanifanya nisiikimbilie **** 😎.
Nadhani unadanganya,Nyeto huvisha najisi mwili, tena ukiwa maskini hata uwe smart vipi unakua na gundu kupitiliza kila ukitongoza utakua unapigwa za mbavu.
Hiyo kukataliwa mpaka na vijuso huwa si bahati mbaya bali ni ile energy mbovu unayokuwa nayo ndani ya mwili.
Soma 1 Wakorintho 6:18, 6:19–20.
Kwani we ni dizasta vina ,Nadhani unadanganya,
mambo unayakanganya,
Nyeto ina-energy chanya.
No, mimi ni ndege mdinya,Kwani we ni dizasta vina ,
Mbona unatembea sana na kina,
Ooh shit niliwaza mbali ,
Kumbe mwanetu dalali 🙌🏾