Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,491
- 19,071
Unachana sana mpaka haters wako wanaumia,No, mimi ni ndege mdinya,
ukija vibaya nakudinya,
Yaani natafuna kama panya,
haters wakiniona wanakunya.
Kwenye swagger zao mistari yako wanaibia,
angalia wasije nyota wakakuibia 🙌🏾