Pasco Mkuu wa Freemason Duniani sio Malkia Elizabeth ni binamu wa Malikia Elizabeth Duke of Kent. Acha kumpakazia bibi.
Freemasons ni taasisi ya kijamii kusaidia shughuli mbali za misaada mfano MV Kagera ilipozama, yeye alimpigia simu mkuu wa Freemasons wa Uingereza, Malkia Elizabeti wa Uingereza hivyo walileta msaada wa Pauni 10,000 za Uingereza (just imagine kile kivuno)!.
Wanabodi
Kwa mnaotaka kuifahamu Freemasons, angalia Clouds TV now, Mkuu wa Freemasons Kanda ya Afrika Mashariki na Kati, Sir Andy Chande anaweka kila kitu wazi!.
Kipindi kimekwisha!.
My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.
Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.
Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.
All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.
Thanks
Pasco.
Mkuu Cynic, nimeelezwa utawatambua kwa aina ya magari yao!, mimi ni mtu wa boda boda japo sasa nime upgrade to bajaj, nitafanya utafiti kama naweza kukubaliwa ili namimi angalau nibadili hii bajaj nipate japo hata ka starlet au nissan match na mambo yakiwa super, ninunue hadi corola!.Nimegundua juzi nilipokuwa home kwamba concept ya freemasonry kwa mwananchi wa kawaida bongo ni kinyume kabisa. Kwa wengi mtu yeyote aliye 'sucessful' freemason. Na wengi wanaamini ukijiunga nao tu basi kuanzia hapo utafanikiwa, hata ukiwa unashinda umelala kitandani. Hata wewe Pasco si ajabu utakuwa unaonekana 'freemanson' tu kwa watu wengine
Lengo la kuja hapo ni nini?
kutafuta wanachama?
kuelimisha umuhimu wa freemason?
inawezekana siyo mwana JF,maana angepata some knowledge hapa,angeshawahi kuiona ile thread ya Maxence Mello ya "Freemasons inside out"Kwa kweli Gerald ameni-disappoint sana katika interview hii. Yani kama vile Chande ndio alikuwa anaongoza...badala ya kuchimbua mambo anayoyasema Chande juu juu, unaona Chande akifika mahali Gerald anasema kwa kurudia alichomalizia kusema anakifanya kiwe kama swali "kwa hiyo umesema freemasonry hawatoi pesa eh!?"..aahhg!!Very poor interview!
Anyways, nisimlaumu sana. Amejitahidi kidogo!
My Opinion to Interviwers: Jitahidini jamani mfanye homework yenu kabla hamjaenda eneo la tukio. You need to learn and know most of the things already known or written, ili uweze kujua maeneo zaidi yanayotatiza ndio uyaulize. Waandishi tujitahidi kuwa interviewers not just reporters!!
Prince Edward, Duke of Kent, is just the current Grand Master in England and Wales lakini you will be surprised who really is the master of Freemasonry in the world. The one who is the link between spiritual world (where we find Satan and his Angels) and physical world (men who are physically our political and religious leaders). A very respectable leader. Keep reading with open mind. You wont believe it.
its true, it is unbelievable to some people who do not want to learn how the world is going, they believe everything from these spiritual leaders, they respect each and everything they are told to do! It is amazing! I hope the one is linked with papacy position! A very respectful church leader in the world; religiously, politically, socially and even economically!
Kipindi kimekwisha!.
My Take!.
Andy Chande ame mention about Freemasons lakini hakusema lolote kuhusu freemasons!.
Mtangazaji Gerald Hando, very unfortunately didn't do his homework well!.
1. Alipoambiwa ili mtu kuwa freemasons lazima ufanyiwe "initiation" alipaswa kuuliza inafanikaje na inafanyika ili iweje?.
2. Alipoelezwa huwa wanafanya "ceremonies" hakukuliza ni sherehe za nini na zinafanyikaje?.
3. Alipoelezwa Freemasons sio dini, ila ili kuwa member lazima kwanza uwe na dini, kwa nini wasio na dini hawaruhusiwi?.
4. Ameeleza hawana siri zozote ila tuu ya jinsi ya kujuana, alipaswa aseme kama sio secret society hizo siri ni za nini?.
5. Alipoelezwa kuwa hicho ni chama cha kutoa misaada alipaswa aulize misaada gani wametoa au wameshasaidia nini?.
6. Alipoambiwa kuwa MV Bukoba ilipozama, freemasons wa Uingereza walitoa Pauni 10,000, alipaswa kuuliza why only that wajati taifa limepata majanga kibao?.
7. Alipoambiwa freemasons wala level fulani fulani na grand lodge za kila level, kama hujafikia level fulani huwezi kuingia lodge fulani, alipaswa aulize hizo levels ni za nini?, kuna vigezo gani kufikia level fulani? na kwa nini watu wa level fulani hawaruhusiwi kuingia lodge za level fulani?, nini kinafichwa humo?.
8. Alipaswa kuuliza what time of a day do they meet and why?. Hukutana usiku wa manane?.
9. Angeuliza kwenye hizo karamu zao za usiku wa manane, wanakula vyakula gani na wanakunywa vinywaji gani?.
10. Alipaswa kumuuliza kwa nini wanawake hawaruhusiwi? na zaidi ya yeye, ma freemasons wengine prominent Tanzania ni akina nani?.
Kusema ukweli, Andy Chande has taken Gerald Hando with a ride kwa leading questions za maswali mboga mboga ili kuipromote freemasons, nimejikumbuka enzi zangu nilipokuwa nikifanya interview programs, ilikuwa ni grilling time and leave no stone unturned!.
All and all tuishukuru Clouds FM, something is better than nothing!.
Thanks
Pasco.
Watu wanakuja duniani na white pajamas?
Na hizo rituals hajatolea mfano?

Freemasons hawana mambo yoyote ya siri zaidi ya "rituals" na "ceremonies" ila siri ni jinsi wanavyotambuana kuna alama fulani za siri ambazo ni freemasons tuu watatambuana.
its true, it is unbelievable to some people who do not want to learn how the world is going, they believe everything from these spiritual leaders, they respect each and everything they are told to do! It is amazing! I hope the one is linked with papacy position! A very respectful church leader in the world; religiously, politically, socially and even economically!
Alipoulizwa Freemasons ni nini, amejibu Freemasons sio dini, sio imani, haina "dogma" wala haina kafara yoyote!.