Freeman Mbowe, Zitto Kabwe ndani ya Tabora - Julai 27, 2013

Freeman Mbowe, Zitto Kabwe ndani ya Tabora - Julai 27, 2013

Kwa mbali naiona TMP na Student center, yaani nasikia raha, kwa mara ya mwisho nikiwa Tabora nilihudhuria mkutano wa CUF na tulilisukuma gari la Mliberari Lipumba 2000. tuulize kilichotokea kwa wanafunzi wa Milambo
 
Watu wabishi kweli, yaan hawaogopi tena mabomu na risasi za moto bado wanahudhuria hii mikutano ya chadema duuh!

Ni viongozi dhalimu, wezi na wasiojali utu wa binadamu wengine ndiyo wanaamini kuwa nguvu na ulinzi wao utapatikana kwa kutumia mabomu na risasi. Akili na mawazo kama hayo yanajidhihiri kwa watawala wa ccm na serikali yake tu.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1374942617.860600.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374942617.860600.jpg
    124.2 KB · Views: 145
Mkuu zitto kaongea nini? huwa na hamu sana ya kumuona na viongozi wenzake wa kitaifa majukwaani.
 
CCM your time has experd

Ofcourse yes. Instead of being a party of changing 'Dar es Salaam' it has become the party of 'Dar es Salaam'. Bila kuwa state party, it could have been the thing of the past...wamesogeza muda wao mbele kidogo, ingawa hata 2014 na 2015 yenyewe wanaifikia kwa kusua sua.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1374942771.541123.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374942771.541123.jpg
    133.8 KB · Views: 117
Policcm wanasikiliza habari za ukombozi 😛eace:hahaha
 
Mkutano mkubwa uliohutubiwa na mbowe umefanyika tabora na kuhudhiriwa na mamia ya watu
Tuachen tufanye siasa jaman
 

Attachments

  • 536864_344049685725233_2126660317_n.jpg
    536864_344049685725233_2126660317_n.jpg
    18.4 KB · Views: 226
SAFI si walisema chama cha msimu,watajiuliza juzi wamemkamata ,leo ana umati mkubwa nyuma yake kulikoni?nani ni mhalifu?
 
Wale vijana wa Lumumba Buk 7 FC, wameingia mitini nilibahatika kumuona mmoja tu Ritz na yeye baada ya Tumaini Makene kuweka picha kaingia mitini.
 
wote mliotupa updates tunawashukuru sana maana mmeifanya dunia nzima ielewe M4C ni kitu gani , M/Mungu awarudishie mlipopungukiwa , molemo na Tumaini Makene asanteni sana .
 
Back
Top Bottom