picha hakuna leo. Najua mtatuletea picha za mikutano ya Arusha na tushawagundua.
Wako kwenye kikao kizito kwani IGP kaamua kustaafu siasa, huku barua kutoka Hong Kong.....kule mkubwa kalala kwa waziri ....huku Chadema inatwanga kotekote, sasa wafanye nini?Computer room leo ilifunngwa mapema walitoka saa tisa...
wote mliotupa updates tunawashukuru sana maana mmeifanya dunia nzima ielewe M4C ni kitu gani , M/Mungu awarudishie mlipopungukiwa , molemo na Tumaini Makene asanteni sana .
Tunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Lilambo
Mtaacha lini kujaribu kukutanisha Lila na Fila. Hakuna aliyewahi kufanikiwa katika hilo, seuze CCM. Haya basi, Ritz na Chama, wameshakimbia, Hammy D na Zomba hawaonekani kabisa, wao habari ya mjini wanaijua vyema, wadogo zao kama ninyi, mnakomaa kufuta futa au kupangusa aibu..
Tunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Zitto naona anaenda kimyakimya kwenye siasa za Tanzania.