Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,528
- 287,058
Zitto? naona anapiga kimya kimya hivi ule mapango wake wa kuachana na siasa umeishia wapi?
hayakuhusu .
Last edited by a moderator:
Zitto? naona anapiga kimya kimya hivi ule mapango wake wa kuachana na siasa umeishia wapi?
rtiz umekuwa mzalendoTunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Naona kidogo leo hauko ki"ccm";hongera san
Tunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Kwahiyo nawewe unaona umepost comment?hawana majimbo hao wau kila uchao kiguu na njia kwenye majimbo ya watu.kazi kuchangisha pesa za msikini huku wao wakineemeka
katika viwanja vya mpira hapa karatu mjini mh Natse akiambatana na mh Paresso viti maalum watawasha moto mkubwa nitawapa updates wakuu
hawana majimbo hao wau kila uchao kiguu na njia kwenye majimbo ya watu.kazi kuchangisha pesa za msikini huku wao wakineemeka
Una kihoro....!?Tunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Tunasubiri updates kutoka kwa makamanda.
Sasa amepanda Mbunge Sabrina Sungura. Anasema wananchi wa Kigoma walishaikataa CCM siku nyingi. Anawataka wana Tabora nao kufanya hvyo, wananchi wanaitikia mwisho uchaguzi uliopita. Amewataka watimize ahadi hiyo. CCM chama kinachomaliza rasilimali, tembo wanateketezwa na CCM, watoto wetu na wajukuu watarithi nini! Kigoma ilikuwa waifute CCM wakachakachua majimbo 3.
Wanajamvi,
mtandao unasumbua ukikaasawa nawawekea picha. Kutoka Tabora viwanja vya Chipukizi.