Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Acha uboya wewe kwani kwa hiyo kama Ben hajapoteza na Chadema ndio walizike tu wakae kimya, wanatoa wapi nguvu za kuendelea na mikutano yao ili hali mtu wao wa karibu kabisa hajulikani alipo
Kwa hiyo wewe ulitaka waaache shughuli zote za chama waingie maporini, baharini, kwenye mito maziwa na mabonde wamtafute Benn? Au washinde kwenye media wamseme Benn itakuwa habari kweli? Au tupe mpango mkakati wanaotakiw akina Mbowe waufanye kuhusiana na Benn?
 
Watu wazima kama Ben wanaotoweka ni wengi sana Polisi ikianza kuwatafuta pengine haitafanya kazi nyingine,ingelikua Ben katekwa hapo ingekua tofauti lkn kwa hili sidhani.
 
Acha uboya wewe kwani kwa hiyo kama Ben hajapoteza na Chadema ndio walizike tu wakae kimya, wanatoa wapi nguvu za kuendelea na mikutano yao ili hali mtu wao wa karibu kabisa hajulikani alipo
Acha bng ww,Ben yupo salama.
 
Inasikitisha kijana wa watunna kupigania chama alichokipenda na wao kumpa vyeo humo, leo hii hawamtambui kama vile wanajua lililomkumba.

Labda walimpiga na kutokujua itaenda vibaya then baya litamtokea.

Au kaenda kupiga ukimbizi nchi ingine.

Mwisho wa siku ndio inaonyesha lolote lile chama sio ndugu yako, naa ndugu na marafiki wamenyamaza kimya kama vile mtu hajapotea kama walivyosema.
Acha uongo. Mlilazimisha maiti za mtoni huenda niza wafuasi, kumbe hakuna. Eti huenda ameuawa Ben, au mnajua mlichokifanya kwa Ben? Tuache usalama wataupe majibu sahihi. Acha uchochezi usio na tija wala maana. SIPENDI UJINGA!!!
Mkuu,mtu alishatumiwa msg za vitisho kwamba atakuja kujikuta peke yake na chatu,we bado unaamini yupo hai? Ukute alishaliwa na chatu tayari
 
CHADEMA wako smart. Wanamfahamu mwenye nguvu aishie gizani anayefanya uhalifu wa aina hii, wa kuteka, kuua, kuwatia kwenye viroba binadamu na kuwatupa. Kwa hali ilivyo kungekuwa na hata chembe ya shuku juu ya uhusiano wa CHADEMA au ingekuwa watawala wangekuwa kweli hawajui Ben aliko CHADEMA kusingelalika, pengine hata chama kingefutwa!
Polisi wanamgwaya "mgomvi" wa Ben, aliyekuwa akikosolewa na aliyebanwa na huyo kijana mzalendo aliyekutana wenye nguvu wa gizani, wachawi wakubwa wanaojifanya wacha Mungu!
Serikali ingependa Ben au yoyote aliyempoteza angepatikana ndani ya wiki moja, jiulize nani anawazuia Polisi, TCRA kusema ni nani aliyewasiliana naye mara ya mwisho na ilikuwa wapi? Na Emmanuel Joseph aliyemtumia jumbe za vitisho alikamatwa? Yuko wapi na anafanya kazi gani ya kulipwa na nani? Kwa mfano huyu Emmanuel angehusika kutuma ujumbe wa kitisho dhidi ya mamlaka angekuwa huru hadi leo?
Uhalifu ni kuua au kuhujumu maisha ya wana CCM au vibaraka wao, utatafutwa popote na hapo utaona jinsi Polisi "wanavyojua" kazi, Ila uhalifu unapofanywa dhidi ya raia wa daraja la Pili; (ndiyo wapinzani) kesi itavutwa miezi, miaka hadi kupotea!
Si mnaona "ujambazi" wa Lipumba akishirikiana na dola kukwapua mamilioni ya CUF kwa kesi iliyo wazi na inayoweza sikilizwa hata na hakimu wa ngazi ya cheti na kumalizwa kwa siku moja tu na ambayo sasa inavutwa vutwa taratibu ili vibaka wanaomfadhili wanufaike na hivi kuwakomoa raia wa daraja la Pili?
Mliokuwa mkiwadhihaki Uganda kuwa na Iddi Amin rudini kutubu maana uzoefu umedhihirisha Iddi Amin ni mtakatifu mbele ya nduli tuliozalisha kumbe Tanzania inaweza zalisha Nduli zaidi yake kwa mamia kupitia. CCM!

Sawa tuseme hayo yote kwa upande wa Serikali labda uko sawa, lkn vipi kuhusu chadema? Iweje wawe kimya kabisa kupoteza mtu miezi 2 na wao kuendelea na maisha kana kwamba hakuna kilichotokea? Hilo ndiyo linalonistaajabisha, kwani siyo kawaida!
 
ULIONA WAPI WATU WAKAKAA KUOMBOLEZA MWEZI MZIMA ? KUKAA KIMIYA NI VIZURI .KWANI HUJUI CHADEMA WANAWAZA NINI.UCHUNGU WANAUJUA NDUGU ZAKE.
 
ha ha ha ha... hata marafiki wa ben humu wapo kimyaaaaaaa... hta kale ka hashtag bringbackbenalive sikaoni tena humu
 
Ben saanane ni mzima wa afya..
Thubutuuu!!!
grieving-cat-spends-year-owner-grave-4.jpg

Mbowe tubu! mbowe tubu!
 
Ndugu. Mtoa. Post. Hao. Ni wanamaigizo. Ukitaka. Uwafate. Kila. Watacho. Semaaa. Utapasuka. Kichwaa. Waulize .lile. Swala. La. Kumtoa. Naibu. Spika. Dr. Tuli. Liliishia. Wapi?? Na. Vipi. Kuusu. Ukuta. ?? Waulize. Usikie. Majibu. Yao. Yalivyo. Mepesi
 
Sawa tuseme hayo yote kwa upande wa Serikali labda uko sawa, lkn vipi kuhusu chadema? Iweje wawe kimya kabisa kupoteza mtu miezi 2 na wao kuendelea na maisha kana kwamba hakuna kilichotokea? Hilo ndiyo linalonistaajabisha, kwani siyo kawaida!
Ulitaka CHADEMA wafanye nini? Hawana Polisi, Usalama wa Taifa, Jeshi n.k.
Sheria mlizojizunguushia ni za kulinda uhalifu kama huu. Wahalifu hawa ndani ya serikali walikuwa wakisubiri CHADEMA waamdamane wawafanyie uharamia ikiwa ni pamoja na kupigwa, kukamatwa, kufungwa kwa maelekezo toka Lumumba na vitimbwi vingine. Ipo siku CCM watajutia uhalifu wao huu baada ya kila kitu kuwekwa wazi! Shame on you CCM!
Sawa tuseme hayo yote kwa upande wa Serikali labda uko sawa, lkn vipi kuhusu chadema? Iweje wawe kimya kabisa kupoteza mtu miezi 2 na wao kuendelea na maisha kana kwamba hakuna kilichotokea? Hilo ndiyo linalonistaajabisha, kwani siyo kawaida!

Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
 
Nafananisha kupotea kwa Ben sawa na alivyopotea aliyewahi kuwa waziri wa foreign affair wa Kenya miongo kadhaa iliyopita. Baadae ilibainika kuwa serikali kupitia genge la mungiki ilihusika. Huyu alikuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa ile pHd ya alcohol.
 
Kwani Ben aliwahi kua Waziri wa nini?
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanane?
Mimi mbona nahisi Ben yuko mahali na baadhi ya watu wanajua alipo ila hawasemi. Naamini iko siku atatokea na kurudi nyumbani na kuungana na familia yake.
 
usipanic ikifika muda BEN atkuja mwenyewe,hio ni HIDDEN CARD ,inasubir the SPECIAL MOMENT TO BE UNVEILED...
 
usipanic ikifika muda BEN atkuja mwenyewe,hio ni HIDDEN CARD ,inasubir the SPECIAL MOMENT TO BE UNVEILED...
 
1.Bila kujali wanahusika au hapana
2. Mtoa mada ni kada wa UKAWA au CCM
ila ni dhahiri CHADEMA KAMA CHAMA SUALA LA BEN hawajalipa uzito stahiki, ukweli utabaki kuwa ukweli.... HEBU TUJIULIZE ALIYEPOTEA ANGEKUWA NI MBOWE, je nguvu sawa na hii ya BEN ingetumika?

Humjui waziri wa usalama wa Raia kama ni Member wa JF?
Kama naye miezi miwili amekaa kimya unashangaa Chadema kuendelea na mambo yake?
 
Acha uongo. Mlilazimisha maiti za mtoni huenda niza wafuasi, kumbe hakuna. Eti huenda ameuawa Ben, au mnajua mlichokifanya kwa Ben? Tuache usalama wataupe majibu sahihi. Acha uchochezi usio na tija wala maana. SIPENDI UJINGA!!!

Upendi ujinga unajua umeujuaje
Kicheko kimenitoka
 
d5d79dd77d05a16a5f12fe7a6859e878.jpg
Wadau naomba kujuzwa hv yule mtu anayeitwa BEN SAANANE ambaye ilivuma amepotea jee vipi ashapatikana au nn kinaendelea maana naona umekuwa kimya limepita km pepo za kusi
 
Hivi Mnyama Faru unaweza kumfananisha na binadamu B.Saanane tena mtu aliyekitumikia Chama chenu kwa muda mrefu? Faru tunaweza kuwazalisha wengine hata 500, huyo Saanane mtamtoa wapi mwingine?
Kwani mlimfanyaje hadi kuuliza watampata wapi mwingine?
 
Back
Top Bottom