Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Hata mimi niliwahi kutafakari hili jambo. Inawezekana CDM wamemuondosha (wamempeleka mahali salama)Ben kwa faida ya uhai wake. wamemkimbiza mbali na mkono wa mtekanyara.
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanene?
Usalama.
Wameachiwa Kazi Kama Wakisema Wameshindwa Ndiyo Utawaona Hao Akina Mbowe.
Kila Kitu Kina Mipaka Yake Hiyo ni Kazi Ya Police Siyo Mbowe au Lowasa
We Unataka Waingilie Kazi ya Police?
 
Acha uboya wewe kwani kwa hiyo kama Ben hajapoteza na Chadema ndio walizike tu wakae kimya, wanatoa wapi nguvu za kuendelea na mikutano yao ili hali mtu wao wa karibu kabisa hajulikani alipo
U are very hopeless..!!
Kwaiyo ulitaka CC ya Chadema iitishwe kujadili agenda kuu iwe ya Ben??
Kwa akili yako finyu unafikiri hawa akina Mbowe na Wenzake wangekuwa wanahusika na kupotea kwa Ben wangekuwa uraiani sasa ivi??
Yani Chadema kama taasisi kubwa iache kujadili mambo mengine yanayoendelea kwenye Nchi wajadili ishu ya Ben tu??
Rudi Mirembe ukaendelee na dozi yako uliyokatisha.
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanane?
1.Bila kujali wanahusika au hapana
2. Mtoa mada ni kada wa UKAWA au CCM
ila ni dhahiri CHADEMA KAMA CHAMA SUALA LA BEN hawajalipa uzito stahiki, ukweli utabaki kuwa ukweli.... HEBU TUJIULIZE ALIYEPOTEA ANGEKUWA NI MBOWE, je nguvu sawa na hii ya BEN ingetumika?
 
Inasikitisha kijana wa watunna kupigania chama alichokipenda na wao kumpa vyeo humo, leo hii hawamtambui kama vile wanajua lililomkumba.

Labda walimpiga na kutokujua itaenda vibaya then baya litamtokea.

Au kaenda kupiga ukimbizi nchi ingine.

Mwisho wa siku ndio inaonyesha lolote lile chama sio ndugu yako, naa ndugu na marafiki wamenyamaza kimya kama vile mtu hajapotea kama walivyosema.
 
Viongozi wa Chadema wanajua Ben aliko ndio maana wako kimya!!!!
 
Acha uboya wewe kwani kwa hiyo kama Ben hajapoteza na Chadema ndio walizike tu wakae kimya, wanatoa wapi nguvu za kuendelea na mikutano yao ili hali mtu wao wa karibu kabisa hajulikani alipo
Ulitaka wapige matarumbeta,,?
 
Kuna watu Mungu aliwaumba akasahau kuwawekea Ubongo
Thanks best kwa kumuona huyu
2017-01-07-23-55-49--2023329737.jpeg

Amesahau dhulma walizokwisha wafanyia na kuwafanya wapinzani wao kimtizamo waziishi kwa miaka nenda rudi (ni kumbumbu mbaya kwa kweli)ambazo kwao wao wanaona wapinzani yawastahil kuziishi.
Ajifanya punguani hajui hata wa kuwauliza "kimya hiki cha Mpendwa Ben",huku moyoni akifurahia na kutamani damu zaidi kumwagika kisa neno 'mpinzani'.
~~~NA KAMA KWELI WAMEMTANGULIZA KAMA WALIVYOWATANGULIZA MAWAZO NA WENGINEO "AMIN,AMIN,AMIN DAMU HIZO ZA KILIO CHA HAKI HAZITAENDA BURE KATU ASLAN".
images-865.jpeg
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanane?

Nyie si ndiyo mumemchukua msukule,
 
Kwani mwenye mamlaka na vyombo vya kumtafuta ni nani?
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanane?

Hawa ni wakuu wa vyombo vya ulinzi Tanzania? Ni lini nafasi hizi zilitangazwa? Wakati wakuu wako wa vyombo vilivyostahili kukupa majibu wakiwa busy kudidimiza upinzani ulitakiwa kutumia mwanya huo kumsihi bwana wenu awape muongozo bora na mipaka ya majukumu yao!
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanane?
Kila kitu kina utaratibu na mikakati yake na sio watu kuwekeza katika ajenda moja. Ajenda ni nyingi zaidi ya moja na kila ajenda ina kipaumbele chake. Sio kukurupuka kama serekali ya sizonje ya matamko na kupisha kauli baina yao.
 
Haha ha, kafara? Umenikumbusha tetesi za mtu mmoja aliyekuwa anatoa kafara viungo vya jamaa zetu ili apate ubunge na uwaziri hadi mkewe akachukia

Duh! Lowasa huyo au nani? Huyo Mzee muacheni sasa apumzike mmezidi kumuandama!
 
Duh! Lowasa huyo au nani? Huyo Mzee muacheni sasa apumzike mmezidi kumuandama!
Imani za viungo vya jamaa zetu wala umasaini haipo ila maeneo Fulani ambayo wote twayajua. Aah ngoja tuache hayo!
 
Back
Top Bottom