Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Habari wana jamvi.
Hivi ile issue ya Beny imeishia wapi? maana siku hizi sisikii tena, si magazeti wala haha jf na pia hata viongozi wake siwa sikii tena...
 
Sasa hivi tupo kwa wauza sembe hii ndio Tanzania ya vi_wonder
 
WanaJF,

Wengi tunaamini kuwa vitu vingi vinaanzia JF kabla wengine hawajaona wala kusikia.

Wengi wameona kutajwa kwa Mbowe na biashara ya mihandarati kama suala la kisiasa vile. Ila kwa wale waliokuwa na mambo ya rohoni na mwilini walisema, Mbowe anahusika sana na kupotea kwa kamanda huyu.

Hii ilitokana na ukimya wa Mbowe na chama chake anachoogoza kutokuwa na msimamo juu ya kupotea kwake.

Taarifa za hivi karibuni zinaonyesha Ben Saa 8 alikamatwa na madawa ya kulevya huko China. Hii kazi inaonyeshwa alikwenda huko kumwakilisha Kamanda wa Anga.

Inaonyesha kwa sasa, muda tu unasubiriwa ili kila kitu kiwekwe wazi juu ya nani wengine walihusika katika dili hili.

Siasa weka pembeni tuliokoe taifa na viongozi wahuni na wanaoangalia maslahi yao na si ya wananchi.
 
Hakuna usiri huo kwa aina ya viongozi wetu. Tungeshapata habari kitambo. Tizama mtu kashikwa n dawa za kulevia mwanza walivyotangaza mapema. Milunzi kibao ili wengine wajifiche.
 
Mbona unalopoka kwamba ndani ya ccm hakuna wauza unga mbona ni chadema tu name wasanii pamoja na wachungaji kama hujui kuwa mwizi humsaidia mwizi mwenzake asiteketee Juan xaxa maana hato wataja vigogo wa ccm kamwe maana anaogopavkuwa jipu
 
Jiwe lililotupwa gizani na mkuu wa mkoa litawaibua wengi. Nampongeza kwa ujasiri wake kuanzisha hii vita ya kupambana na dawa za kulevya ni hatua nzuri hata kama ina mapungufu maana hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kudiriki kuwataja wauza unga kwa majina.
 
Ndio maana huwa mnaambiwa "jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, na pia kuchamba kwingi kushika mavi. .." mtoa post kuwa makini.
 
Inapotokea siri tujue ni siri. Kwa mtu kama Mbowe unatakiwa uanze mbali na mwisho ushaidi ukamilike zaidi. Kisa cha kutangazwa ni sehemu tu ya hatua za kuelekea huko.
Hakuna usiri huo kwa aina ya viongozi wetu. Tungeshapata habari kitambo. Tizama mtu kashikwa n dawa za kulevia mwanza walivyotangaza mapema. Milunzi kibao ili wengine wajifiche.
 
MODS kuacha huyu mtu anaendelea kuwepo humu kuleta mambo ya aina hii ni bora tujitoe. Napotea kwa masaa mawili, kama uzi huu utaendelea kuwepo basi bye bye, hakuna haja ya kuendelea kuwa member wa Home of great jingas
 
Back
Top Bottom