Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Weka ukweli mkuuAcha uongo mkuu
Weka ukweli mkuuAcha uongo mkuu
Hilo sasa povu[emoji23]Hacha Kuropoka tu Weka Ushahidi wa Pumba Zako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha upumbavu
JF sasa hivi kuna haja ya kutumia majina yetu ya halali tuone ukweli ulipo!!WanaJF,
Wengi tunaamini kuwa vitu vingi vinaanzia JF kabla wengine hawajaona wala kusikia.
Wengi wameona kutajwa kwa Mbowe na biashara ya mihandarati kama suala la kisiasa vile. Ila kwa wale waliokuwa na mambo ya rohoni na mwilini walisema, Mbowe anahusika sana na kupotea kwa kamanda huyu.
Hii ilitokana na ukimya wa Mbowe na chama chake anachoogoza kutokuwa na msimamo juu ya kupotea kwake.
Taarifa za hivi karibuni zinaonyesha Ben Saa 8 alikamatwa na madawa ya kulevya huko China. Hii kazi inaonyeshwa alikwenda huko kumwakilisha Kamanda wa Anga.
Inaonyesha kwa sasa, muda tu unasubiriwa ili kila kitu kiwekwe wazi juu ya nani wengine walihusika katika dili hili.
Siasa weka pembeni tuliokoe taifa na viongozi wahuni na wanaoangalia maslahi yao na si ya wananchi.
Hata mimi nauona ukweli kwa mbaaaali.hii habari ni ya ukweli
Acha kuliaMODS kuacha huyu mtu anaendelea kuwepo humu kuleta mambo ya aina hii ni bora tujitoe. Napotea kwa masaa mawili, kama uzi huu utaendelea kuwepo basi bye bye, hakuna haja ya kuendelea kuwa member wa Home of great jingas
Mods toeni huu upuuzi...
MODS kuacha huyu mtu anaendelea kuwepo humu kuleta mambo ya aina hii ni bora tujitoe. Napotea kwa masaa mawili, kama uzi huu utaendelea kuwepo basi bye bye, hakuna haja ya kuendelea kuwa member wa Home of great jingas