Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

Swali zuri.

Kwanini Faru John aundiwe tume, na si Ben Saanane unayemuulizia leo hii?

Tuseme Serikali yetu imepuuzia swala la kupotea kwa Ben Saanane, lkn vipi kuhusu wana chademana Chadema yote kwa ujumla? Nao pia wamempuuzia Mfanyakazi wao Ben Saanane?
 
Bado nakuona ukiuliza maswali ya msingi.

Ila bado swali, kwanini tume isingeundwa kwa ajili ya kutaka kumnusuru binadamu mwenzetu katika mfano huu,Ben Saanane? Badala yake tume iundwe kwa ajili ya Faru John?

Tuanzie hapo kwanza kabla ya kuwatwisha lawama hao CHADEMA na washirika wake ambao kimsingi hawana dola....
 
Nimekwisha kujibu kwamba Serikali yetu tuseme imepuuzia kupotea kwa Saanane au niseme labda imeweka umuhimu zaidi kwa huyo sijui Faru, lkn nauliza, Je chadema nayo imempuuzia Saanane wao?
 
Nimelijibu pia swali lako, ndipo nami nikaongeza kwa kuuliza kwani CHADEMA ndiyo wenye serikali, wenye dola...?
 
Nafahamu hilo kwamba hawana Serikali, mbona maswala mengine wanajitokeza kwa nguvu zote kuayaongelea hata kama hawana Mamlaka nayo? Ni kwa nini hata kuliongelea tu kama Chama kama wafanyavyo kwenye mambo mengine hawafanyi? Inaingia akili Mfanyakazi wa chadema apotee zaidi ya miezi 2 na hakuna taarifa rasmi yoyote ktk Chamani? Tundu Lisu anaongea na waandishi wa Habari hata kugusia hajagusia, kwa nini?
 
Kwa kumbukumbu zangu, Tundu Lissu amekwishalingelea jambo hili.
 
Kwa hiyo ikaishia hapo? Kweli mtu tena Kiongozi wa chadema apotee zaidi ya miezi 2 halafu unakwenda kufukua lini sijui Tundu Lisu aliliongelea, hiyo siyo chadema ninayoijua, kwa hiyo tumsahau mshikaji Saanane?
 
Ulisema Tundu Lissu hajawahi kuliongelea.

Nimefanya hivyo katika kukusaidia tu kuweka kumbukumbu sawasawa.
 
Hauna jipya unazunguka tu kama Tundu Lisu wako, ukweli utawaweka huru, kumbuka njia ya Muongo ni fupi!
 
Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!
Mkuu si mlisema tuviachie vyombo vya dola?Mi niliuliza kwamba vyombo vyadola vimefikia wapi,Wakajibu uchunguzi unaendelea tuvute subira kama mccm mmemnywa kama faru John mtaenda kujibu mbele za Mungu,huyo si mnyama ni binadamu damu yake haitapotea bure.
 
Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!

Hahaha!!! Yani ben alikua mkorofi kama faru john .
 
Mbona kila kukicha habari zake zinazidi kufifia, Je, ndo mmeshakata tamaa na kumtafuta au vipi? Hivi mtu muhimu chadema anaweza kupotea tu na mkakaa kimya mpaka leo hii? Kweli hii laana Mbowe, lisu &Co. haitawaacha wazima!
Siku 7 za tamko la lisu na bavicha hazijaisha kuwa na subira ha ha haaaaaa
 
Usimchezee CHATU Ohooo Chatu ohooo Fimbo usimtupie Utaukosa Ushindi...Natoa Onyo kwa yeyote anayemchezea chatu ni HATARI.
 
Mbowe anaendesha kikao Mwanza, Lowasa yuko sijui Geita, Tundu lisu ndo hata habari hana yuko kwenye redio za Wazungu kumsema Raisi wetu, wakti huo huo B.Saanane amepotea kwa miezi 2 sasa, hili linawezekana vipi? Yaani Mbowe afanye kikao Mwanza kuongelea kuhusu Lowasa na siyo B.Saanane?
 
Kwani wapi ilitangazwa kwamba Ben amepotezwa na Chadema??

Kama huna hoja sio lazima kuanzisha thread hapa.
 
Acha uboya wewe kwani kwa hiyo kama Ben hajapoteza na Chadema ndio walizike tu wakae kimya, wanatoa wapi nguvu za kuendelea na mikutano yao ili hali mtu wao wa karibu kabisa hajulikani alipo
 
Back
Top Bottom