Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Status
Not open for further replies.
Hao wenye ma-degree's,ma-Phd's na Ma-professor si ndio wamejaa CCM kama hizo "shahada-vyeti" ndio kila kitu mbona nchi imekwama? 50years after indepence ndio kama tunaamka.Chama kilichosheheni watu wanaotamba kuwa na shahada za juu kimeshindwa si tu kubuni bari hata kuendeleza miradi iliyoanzishwa na wasomi enzi za Mwalimu kama SUKITA!
 
Naona bajet inasumbua maana M23 na bungeni 'simuoni' siku hizi

Mkuu Mzito Kabwela sio kwamba bajeti inasumbua isipokuwa kuna sintofahamu kati ya Nape na Mwigulu matokeo yake sasa ndio unaona lumumba project wanabishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na nani wanayemuunga mkono.

m 23 muda mrefu hajaonekana lakini jana nimemuona amerudi wakati mwenzake bungeni yuko segerea ananyea debe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu babayako mbona kwenye hiyo CV ya Mbowe pia inaonyesha hakuna tarehe ya kuzaliwa kwa hiyo kumbe huyu Mh hakuzaliwa asee. Usisahau kutuwekea na Cv yako.
 
Huna hoja ya msingi.

Mm nimesoma shule sita za msingi wazazi wangu walikuwa wakihamishwa kikazi na ilinilazimu kuambatana nao.
Kwahiyo kusoma hata shule kumi na nne za primary inawezekana kwa miaka saba kama kila mhula unabadili shule.

Degree unayosema not complete maana yake on progress.

But kuna wengi wa CCM wana vyeti feki..ni bora hao wa Chadema hawajajipachika Elimu kwa vyeti feki.

Elimu ni nini?
Uongozi ni nini?

Jaribu kutafuta knowledge ili uweke uzio wa kujua mambo.

Nakumbuka enzi zile sikuwahi kuona wazazi wakilalamika na jamii pia ikalalamika kwamba kuna watoto wameshindikana..ni katika jamii ambayo watu hawakupata formal education.leo hii kuna watoto wa wasomi wameshindikana.
Usomi ni nini na kuwa na elimu ni nini na uongozi ni nini?

Tuna PhD holder wengi pale bungeni,naomba unisaidie kulinganisha michango ya Phd holder watatu tu na mchango wa mbunge mmoja kati ya ulowataja tuone ni nani ambaye ana elimu na mchango wake ni potential ktk jamii yetu ya Tanzania.
 
Mfa maji heshi kutapatapa. Mbona kuna wabunge kibao wa CCM ambao ni darasa la 7 tu na wala hatusemi? Mbona mbunge wa Masasi hakumaliza hata hiyo ya msingi, ameghushi vyeti sisi tumepotezea tu?

Watu makini huzungumzia mambo makini ya kuleta maendeleo. Watu wazembe huzungumzia watu. Je wewe uko kundi gani?

CHADEMA chama makini. Mipango yake makini. Kadri mnavyozidi kukihujumu ndivyo mnavyozidi kukiimarisha. Pongezi kwa kuendelea kukifanyia kampeni bila kulipwa, kilaza we! Nikikuita juha kalulu ntakuwa nimekusifia.

You poor thing! So sad.

Tehe tehe tehe.
 

naona ufipa fc mmekutana..kwa hizi pumba zenu hakuna kupata miambili zenu leo, mtakoma na huu ndio mda wa chai
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor njoo msome huyu mpuuzi wa waom! hizi ndio hoja zao za msingi!
Elimu vs Utendaji!
 
Last edited by a moderator:
Kwani mkuu babayako wewe ni mgeni hapa Tanzania?

Hao uliowaorodhesha wote wanajulikana ni "vilaza".

Sasa kwanini 'vilaza' wa namna hii wanawalazimsha kuanzisha thread kila baada ya dakika tano, kuwahusu wao..! Embu ninyi watetezi wa CCM tunataka tujadiliane hoja za msingi kututoa hapa tulipo (kiuchumi au kijamii n.k.) zaidi ya hizi cheap politics...Onesheni maturity ya kisiasa kwa kuanzisha hoja tafakurishi..!
 

mkuu hapo umekosea au umefanya makusudi, mbona umeingia choo cha kike kabisa. Kikwete hajawahi kuwa mwalimu au ndio wale wale ulikimbia umande hujui ulichokiandika. Pia mke wa rais anatuhusu nn sisi, mama nyerere ni mama wa nyumbani, mama siti nk hata shule zao hatuzijui.. Hupati mia mbili yako leo.
 

anzisha mkuu tutachangia. Ww ndio una nafuu kdg ktk wenzako wa ufipa fc
 
Sasa kama hao ndio majembe wa CDM, sijui chama hicho ni cha aina gani?
 
Kumbe ile anayoisemaga msigwa kuwa akili ndogo kuongoza akili kubwa inatoka mle mle ndani inawaumiza wenyewe ndio mana anaenda nayo hadi majukwaani. Ukiangalia maprofesa km baregu, safari kuongozwa na std seven ya akina mbowe lazima inauma sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…