Freeman Mbowe kushuhudia Hukumu ya Mdude Nyagali Mahakama Kuu ya Mbeya

Huyo jamaa alikosa ustaarabu alikuwa na maneno makali Sana matusi Yan havumiliki hata kidogo yote kwa yote huyu jamaa alikosa ustaarabu Tena kwa taasisi kubwa Kama Rais hvyo atendewe haki mahakamani.

Kosa lingine n mbowe kwenda mahakamani Kunafanya mahakamani Kama sehemu ya kisiasa kumbe n sehemu ya kutoa haki.
 
Sawa, japokuwa sijaelewa kuwepo kwake au kukosekana kwake kunaongeza au kupunguza nini kwenye kesi
 
Kwa matusi haya kabla ya hukumu jaji mpige mvua ili waelewe kujifunza adabu hawa japo huwa hawasikii. Tena piga mvua mbele ya Mbowe. Wakishinda kesho watalikashifu sana taifa hili la Mungu
Kwako "Taifa" ni nini ?!
 
Seriously wewe ni masalia ya huyo Magufuli..... kabisa
 
Usimuombee binasamu mwenzio mabaya maana yanaweza kukurudia wewe mwenyewe. Sawaaa?
Nyie mnawaombeaga wenzenu mazuri? Basi hayo mabaya mnayoembeaga wenzenu ndo hayo yanawarudia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…