Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera hatari

Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera hatari

yeye si kiongozi basi apeleke misaada
Kwani kiongozi kazi yake ni kupeleka misaada?Si mlisema rais wenu atafanya kila kitu na ni wa watanzania wote?Au mbowe ndio rais sasa hivi?
 
Hivi hawa chadema hawana hela, wanachama na hawajuani na watu ambao wangeweza kuwasaidia kuwajengea wananchi. Janga kamanhili wangelitumia kama uwanja wa kujiimarisha kisiasa kwa kuwasaidia wananchi baada ya kufokewa na Rais na kupoteza matumaini ya kusaidiwa na serikali.

Wangeanza hata na nyumba chache na kuzifikisha hatua nzuri nadhani wangejijengea heshima, huku kuongea kwenye vyombo vya habari kupinga kila kitu kinachosemwa ama kufanywa na serikali hakuna chochote kinachosaidia, tumeshachoka saxa tunataka kuona upinzani wenye meno. Upinzani unaoweza kuiwajibisha serikali pale inapokosea kwa vitendo.
Sijui kama una habari ya kilichotokea Kagera. Rais na serikali yake waliweka msimamo kamili kuwa hakuna mtu "kujinufaisha kisiasa" na tetemeko la Kagera. Harakati za awali kabisa za CHADEMA kutoa misaada zilipigwa stop na mbunge Lwakatare alipata kashkash ya kutosha. Amri ikatoka misaada yote ipelekwe kwa RC. Hakuna mwenye ruksa ya kutembelea wahanga kuwafanyia chochote.

Mtu usipotaka kuelewa kwamba sasa tuna utawala wa kidikteta, ukajidai kuwalaumu wengine kwa matatizo ya uongozi mbovu ni ama huna habari na kinachoendelea nchini au wewe ni sehemu ya mashine ya propaganda ya CCM. Unatarajia kweli Magufuli asikie CHADEMA wanajengea watu nyumba na kuwapa chakula wakati yeye keshasema serikali haikuleta tetemeko mtu asisubiri msaada halafu mambo yaende kimya tu? Yaani CHADEMA waonekane bora huku rais na chama chake wakionekana wabaya kwa kuendeleza jeuri na kauli za maudhi? Yeye si mjinga kiasi hicho.

Wale wote wanaotaka kuwalaumu CHADEMA basi wa wawalaumu kwa kukosa ujasiri wa kupinga kwa nguvu jeuri inayoonyeshwa na serikali na kuwa tayari kupambana na vyombo vya dola hadi tone la mwisho la damu. Haya mambo si mchezo. Sijui ni nani asiyeona kwamba safari hii serikali imekaa kishari hasa? Watu wanalaumu tu vyama vya upinzani kwa kutochukua hatua stahiki bila kuiona hesabu kamili iliyo mbele yao. Mimi nataka kusikia watu watakaodai kuwa wameshajiandaa kufa katika mapambano lakini tatizo hawana uongozi makini wa upinzani wa kuwapeleka kwenye uwanja wa vita! Hata Dr. Slaa angekuwepo CHADEMA leo hii asingeweza kufanya kitu. Hizi si enzi za JK.
 
Upinzani wa kusubiri matukio ni kansa itakayolidhuru taifa.
Tunatarajia kuwapa nchi wapinzani wakati hawapo ktk vision ya kupeleka taifa mbele kama si kusubiri fulani kasema nimjibu huu ni ujinga wa kiwango cha Phd kama ya baba jesca msivyotamani kuiskia.
Una akili ndogo. yazuieni hayo matukio.Mpo very mediocre and very horrible. Km hata hujutii unayoyatetea hayafai kutetea, hujutuu kwamba umewaingiza watanzania ktk shida na upuuzi wako wa kuchezea uhuru na vyombo vya dola.Sasa hasara ya hizo laana zenu unataka msingizia mwingine.Majamaa ni majinga na very irresponsible sana .Ndio maana siku zote ni loosers, hata yakiamisha lawama kwa wengine.
 
Mimi sina raisi ..naongozwa na Mungu alieko juu mbinguni.
Kwa hapa duniani najiongoza mwenyewe nikisaidiwa na Mungu wa mbinguni
 
Hivi hawa chadema hawana hela, wanachama na hawajuani na watu ambao wangeweza kuwasaidia kuwajengea wananchi. Janga kamanhili wangelitumia kama uwanja wa kujiimarisha kisiasa kwa kuwasaidia wananchi baada ya kufokewa na Rais na kupoteza matumaini ya kusaidiwa na serikali.

Wangeanza hata na nyumba chache na kuzifikisha hatua nzuri nadhani wangejijengea heshima, huku kuongea kwenye vyombo vya habari kupinga kila kitu kinachosemwa ama kufanywa na serikali hakuna chochote kinachosaidia, tumeshachoka saxa tunataka kuona upinzani wenye meno. Upinzani unaoweza kuiwajibisha serikali pale inapokosea kwa vitendo.
Watu watoe hela mara mbili za nini?Whata if mara ya kwanza kuna watu walijitoa mpaka mwisho na hakuna tena pa kujitoa
 
yaani utawala huu unawapa wapinzani opportunity kibao za ku-capitalize lakini wao wamelala tu.

kufanyia kazi kauli na matamko yanayotolewa na utawala wa sasa ni mtaji mkubwa na tosha kuliko hata hiyo mikutano ya siasa wanayoililia!

sijui Watanzania tukimbilie kwa nani sasa???
 
Hata kama serikali haina uwezo wa kuwajengea kuna lugha za kuwaambia wafiwa, mfano, serikali yenu itafanya kadri ya uwezo wake, siyo kuwaambia wafiwa 'mwafwa' au kila mtu ataubeba msalaba wake.
kama lugha kama hiyo itamfanya muathirika wa maafa kuanza kujenga nyumba yake au kupasua kichwa namna ya kujenga badala ya kuachwa kufikiri serikali itamjengea wakati haitaweza..huoni kama ni jambo jema?
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Watu wenye Akili ndogo kama wewe hapa Tanzania mpo wengi tena wengi sana,Lowasa alitoa saruji 400,mbowe alitoa milion 5,na wengine wengi.Magufuli hajatoa hata cent mia,Zawadi aliyowapa wanakagera ni hayo matusi ya rejareja,alaf kwenye huu utawala mpinzani wa ainayeyote akinyanyua mdomo kuuliza kituchochote wanafungwa modomo kama Ben saa 8,je unataka afanye nini sasa zaidi ya mchangowake alioutoa?
 
Wewe m

Wewe mwenye akili kubwazzz mbona unatetea uongo
 
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani (CHADEMA), ameikosoa hotuba aloitoa Rais Magufuli Mkoani Kagera kwa kusema " Hivi mtu ambae amefiwa, nyumba imebomelewa, hana chakula, hana pesa unakwenda kutoa kauli za kibabe kwamba hutowapa chakula kwakuwa serikali haina shamba! hivyo sio sawasawa"

View attachment 454940

Ningekuwa mimi ni Mbowe moja kati ya sharti ambalo ningewapa gazeti la TZDaima ni kutokuandika habari zangu kabisa, lkn kwa bahati mbaya mimi siyo Mbowe, kwani nimekwenda Shule, wakati Mbowe hajaenda hivyo hakuna kitu anaelewa!
 
Wewe m

Wewe mwenye akili kubwazzz mbona unatetea uongo
Uliza atamlevi wa dawa za kulevya anajua mchango aliotoa mbowe,lakini wewe haujui yawezekana na familia yako yote.
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana

Nakumbuka viongozi wa UKAWA walipiga kambi huko na kukabidhi misaada yao serikalini, lakini serikali imebadili pesa hizo na kuziita za kwake
 
Uliza atamlevi wa dawa za kulevya anajua mchango aliotoa mbowe,lakini wewe haujui yawezekana na familia yako yote.
Hakuna kitu chochote alichotoa ni uongo mtupu
 
Hivi hawa chadema hawana hela, wanachama na hawajuani na watu ambao wangeweza kuwasaidia kuwajengea wananchi. Janga kamanhili wangelitumia kama uwanja wa kujiimarisha kisiasa kwa kuwasaidia wananchi baada ya kufokewa na Rais na kupoteza matumaini ya kusaidiwa na serikali.

Wangeanza hata na nyumba chache na kuzifikisha hatua nzuri nadhani wangejijengea heshima, huku kuongea kwenye vyombo vya habari kupinga kila kitu kinachosemwa ama kufanywa na serikali hakuna chochote kinachosaidia, tumeshachoka saxa tunataka kuona upinzani wenye meno. Upinzani unaoweza kuiwajibisha serikali pale inapokosea kwa vitendo.
Mkuu unaishi Tz kweli?
 
Nakumbuka viongozi wa UKAWA walipiga kambi huko na kukabidhi misaada yao serikalini, lakini serikali imebadili pesa hizo na kuziita za kwake
Hizo ni propaganda za kisiasa hakuna chochote kilichotolewa
 
anzisha harambee ndg mbowe,wananchi watachangia 2! kama unashndwa nitafute nikupe mbinu ya namna ya kuchangisha hyo harambee!
 
Back
Top Bottom