Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera hatari

Msaada ni msaada.haujarishi ni wa kiasi gan.kuna wa fisiem walipeleka mifuko 50 ya unga.je mifuko hiyo kwa thaman ni sawa na ukubwa wa chama?
Kwa jinsi chadema walivyo na kelele nilijua watapeleka nyumba kabisa
 
Chadema hajafa na wala haitakufa unshisi Mbowe angemkosoa vipi, mikutano imezuiliwa unajua inabidi atumie gazet
Afrika chama tawala hakiwezi ruhusu wapinzani wafanye mikutano!
Kenya wapinzani chini ya Martin Shikuku walilazimisha hata kwa kuwekwa mahabusu na wakafanikiwa
Malawi kwa Mzee John Tembo na Chakufya Chihanya walikuwa wanawekwa mahabusu kila siku wakafanikiwa
Zambia na kwingineko
Mbowe kiongozi wa upinzani TZ analia lia na inaishia hapo
Andaa vijana walaani kauli za Rais JPM kwa vitendo sio kulia lia
 
Kwa maana ya kiumakini na ushawishi hata mimi naona nayo imepwaya, huo ni ukweli. Pamoja sijafurahia alichokifanya mzee Slaa aka Mzee wa Mihogo bado ile ladha yake inakosekana.
Upo sahihi
Kosa kubwa sana UKAWA walifanya kuogopa dola kuhairisha UKUTA!
Sasa CCM wanaamua wao lini wakutane lini hamna kukutana
CUF ZNZ wao waliisha pigania haki zao January 2001,hawawezi zuiwa kuandamana
Polisi inaogopa CUF ZNZ
 
Nani mwenye ubavu, mzee wa ukuta wa biscuit ametekewa na kuchanganyikiwa, Maumvi na Zero hawampi nondo kama Dr Slaa alivyokuwa anafanya, Mashinji duu,yeye arudi tu kutibu siasa hawezi tena.
Mbowe is too weak!
Tumshukur alipotufikisha,aondoke
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana

Hivi wewe una akili timamu? serikali ndio yenye dhamana ya wananchi, siyo chama cha Mbowe. hivi kauli za ubabe zilizotolewa unazifurahia? acha ujinga sisi tuliathirika na majanga tunasikia uchungu wewe unaleta upuuzi wako
 
haha haha
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Labda kama unaishi Burundi huwezi jua nini kinaendelea nchi hii.
Uliza Bukoba baada ya tetemeko alikuja Majaliwa na kesho yake Mbowe. Majaliwa hakuta chochote lakini Mbowe hata mazishi ya waliokufa alishiriki. Endelea kuishi kwa kukariri wenzio tuna facts.
 
Mbowe msaada wake uliwasilishwa na Lowassa kwa kutoa mifuko 400 ya saruji kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko
Mbowe ndio mtu wa kwanza kutoa tents 300 kwa waathirika.
Alishiriki maziko ya waliokufa.
Alitoa kgs 50 mchele na 50 sukari na sh 100,000 kama ubani kwa kila familia iliyopata msiba yaani familia 17.
Tuambie Magufuli alitoa nini?
Teh teh teh teh
 
Nilicheka juzi niliposikia mtukufu akiwarubuni wahanga wa tetemeko katika hotuba yake eti alifuta safari yake ya kwenda Zambia ili asimamie uhamasishaji wa kuomba mabalozi watoe michango! Angekuwa anajua kupanga uongo, angesema alifuta safari ili asimamie au aratibu kwa karibu jitihada za kuokoa wahanga, kutoa msaada wa awali kwa waathirika, na kuwaelekeza kwa usahihi wananchi kufuatia matetemeko madogo yanayofuatia baada ya tetemeko kubwa. Lakini yeye aliona wananchi watamkubali kuwa anawapenda kwa kuwarubuni na dhana ya michango! phd hiyo
 
Back
Top Bottom