Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera hatari

Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana

walitoa michango ila serikali ndio haikuwakilisha
 
Mbowe msaada wake uliwasilishwa na Lowassa kwa kutoa mifuko 400 ya saruji kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko [emoji3] [emoji3]
Mifuko 400 lichama likubwa hivi?lenye mruzuku mkubwa kama nini?Jokes ha ha ha Kiki zitawaua watu dahhh
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Naona hufuatilii habari, ina maana hukusikia mbunge Rwakatare akiwekwa Ndani kisa kachangisha pesa kupitia Chadema ili awasaidie wananchi? Je pia hujasikia dhiaka aliyofanyiwa na JPM kwamba akajenge kiwanda cha bati kyerwa kwenye jimbo la mbunge mwingine?
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Walifika kagera na wakaanza kutoa misaada ya maturubai,wakakamatwa na polisi na kufurumushwa kuwa kamati maalum ndio yenye jukumu!
 
Hivi hawa chadema hawana hela, wanachama na hawajuani na watu ambao wangeweza kuwasaidia kuwajengea wananchi. Janga kamanhili wangelitumia kama uwanja wa kujiimarisha kisiasa kwa kuwasaidia wananchi baada ya kufokewa na Rais na kupoteza matumaini ya kusaidiwa na serikali.

Wangeanza hata na nyumba chache na kuzifikisha hatua nzuri nadhani wangejijengea heshima, huku kuongea kwenye vyombo vya habari kupinga kila kitu kinachosemwa ama kufanywa na serikali hakuna chochote kinachosaidia, tumeshachoka saxa tunataka kuona upinzani wenye meno. Upinzani unaoweza kuiwajibisha serikali pale inapokosea kwa vitendo.
Utapeli uliofanywa na ma con man ukuusikia? Kuchangishana tusaidiane baada ya mchango kila MTU abebe msalaba wake. Huu kama siyo utapeli ni nini? Hebu jadili hilo kwanza
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Sio lazima kila mtu ajue kwamba hujitambui
 
Jpm anajua kuliko mbowe mbowe yuko bize kukosoa jpm yuko bize kusema ukweli ambao anaamini utamweka huru kuliko kuleta siasa wakati anajua hawez kutekeleza
Tofautisha maneno ya busara na yasiyokuwa na busara. Kama hujui tofauti kundi basi huna haja ya kutoa maoni
 
Mbowe msaada wake uliwasilishwa na Lowassa kwa kutoa mifuko 400 ya saruji kwa ajili ya kuboresha miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko [emoji3] [emoji3]
Yaani badala apeleke tani 400 anapeleka mifuko 400 sasa hiyo si ni nyumba ya mtu mmoja na hata leta haifikishi, nyumba anayoishi yeye na familia yake imejengwa kwa Cement mifuko mingapi kama sio zaidi ya 2000
 
Hiyo CCM mnayoisifia hata pasipo stahili ipo siku mtaikana hadharani.
 
SIKU HIZI AITISHI PRESS CONFERENCE??????hii kauli yake juu ya JPM alitamkia wapi???? Me nahisi aliitamkia UVUNGUNI mwa kitanda MAANA tunamtafuta kweli atuambie BEN yupo wapi?????hivyo moja kwa moja HAWEZI
KAMWE ITISHA press conference kw
a sasa ATAKUWA anatolea MATAMKO toka UVUNGUNI......daaah aiseeh hii si CHADEMA tuliokuwa tunaifahamu.....JPM wewe balaaa NA KWA SASA NA BAADAE MBOWE HANA UHALALI WOTE WA KUMKOSOA MAGU
FULI maana yeye kaishajionyesha rangi yake HALISI kupitia UTAWALA HUU....

Mawazo yako ni FINYU. Bullshit!
 
Ni mgonjwa wa utindio wa ubongo ndie anaewaza kuwa Cdm ifanye yale serikali iliyoyashindwa! Badala ya kulaum serkali kwa kushindwa kutimiza wajibu wake unaleta upuuzi hapa kwahiyo madawa hospitali yakipungua utaiomba cdm ipeleke dawa? Hivi upo lumumba au mahabusu
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
I agreed with you.....Nilitegemea kuona chama chake kianzishe Movement for Kagera lakini sikuliona hilo....Ila janga hili lingekua limebiga kule kwetu najua Movement for saidia...............zingekua nyigi sana.
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Sawa, twende kwenye hoja. Unasemaje kuhusu Kauli za John kwenye hotuba yake!?
 
Back
Top Bottom