Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera hatari

Freeman Mbowe: Kauli za Rais Magufuli Kagera hatari

Kwani rais kakosea nini kwenye kauli yake? Mlitaka alaghai kwa kitu hakitawezekana kama ilivyozoeleka kufanywa na wanasiasa? Au ulitaka aongee kwa kulialia na kuomba msamaha kama tetemeko ni kosa la serekali yake. JK alisema angewajengea nyumba wahanga wa mafuriko kilosa hadi leo wako kwenye mahema. Hata kama jk angewajengea angejenga nyumba za aina gani na za gharama gani. The so called Nyumba nyingi ni mabanda ya udongo vijijini wala hayana hati ya ardhi. Je unataka watu waanze kuomba maafa ili wajengewe nyumba na serikali? Hapo ni kutaka kufungua a new pandora box. Jawabu ni kuwapa misaada ya dharura na kuwasaidia wasiojiweza kwa kuwapatia msaada zaidi kama ilivyofanyika.
Hata kama serikali haina uwezo wa kuwajengea kuna lugha za kuwaambia wafiwa, mfano, serikali yenu itafanya kadri ya uwezo wake, siyo kuwaambia wafiwa 'mwafwa' au kila mtu ataubeba msalaba wake.
 
Upinzani wanakosea sana, kukosoa kauli za Raisi tu haitoshi. Wao wangejipanga na kufanya kitu tofauti. Basi wangeanzisha kampeni ya kuchangisha michango kwa ajili ya wahanga na kuifikisha kwao. Sasa kukosoa tu kauli ya Raisi hata humu watu si wanakosoa? Pumzi imeisha upinzani.
 
mbona mnajitoga ufahamu? kwan rwakatare hakutoa misaada ikazuiliwa na mkuu wa mkoa? mh
 
Ungekuwa ndiyo ww ungefanyaje????
Afrika hamna Rais aliyepo madarakani akawapa haki zao wapinzani willingful
Wapinzani lzm wapiganie haki zao
ZNZ CUF hawawezi nyimwa mikutano sababu haki hiyo waliipigania kwenye umwagaji mkubwa wa damu January 2001
Rais anakataza maandamano kw amfano na CHADEMA chama kikuu cha upinzani kinanywea
Mbowe ana haki na wajibu kuwaandaa vijana wake kukataa amri haramu za serikali iliyopo madarakani
Lkn yy yupo yupo tu,2020 inafika bila hata kupigana kuhusu TUME huru
Tume inayo weza kufukuzwa na Rais muda wowote akiamua hata akihisi kama itamtangaza kaanguka haiwezi kuwa huru
Mbowe na CHADEMA kwa ujumla hamna kitu!
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana

serikali ilizuia kabisa watu wengine kutoa misaada yenye kuwafikia moja kwa moja waathirika
 
Lkn yy yupo yupo tu,2020 inafika bila hata kupigana kuhusu TUME huru
Tume inayo weza kufukuzwa na Rais muda wowote akiamua hata akihisi kama itamtangaza kaanguka haiwezi kuwa huru
Mbowe na CHADEMA kwa ujumla hamna kitu!

Mkuu naunga mkono hoja....Mbowe ni kiongozi wa hovyo sana siku hizi

Hadi najiuliza kuna kitu gani kimetokea

Mbowe huyu sio yule Mbowe jasiri tuliyekuwa tunamfahamu

Au amekata tamaa?

Chama chetu kimekuwa hakina mshikamano kama mwanzo

Ni ujinga wa kiwango cha PHD kutegemea ushinda uchaguzi wowote atika mazingira ya sasa ya Kikatiba na Tume ya Uchaguzi
 
Mbowe sasa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TZ anafanya nn kusimamisha hotuba hizi za kipuuzi za Rais?
Mbona hachukua hatua yyt ile na yy analalamika kama sisi tu?
Magufuli anatakiwa ajutie kauli hizi lkn zinapita kimywa kimywa
CHADEMA imekufa aisee!
Ndio namna ya kukubali makosa ya Magufuli wenu na kumwamishia mbowe ayabebe. What a horrible creature?
 
Yeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Horrible people, si mlimsifia sana huyo mungu wenu,sasa hamuwezi mthibiti wala kukubali upuuzi tuliowaambia mkakomaa sana.Sasa unataka mbowe ndie abebe makosa yenu.Nyie ni laana.Mlikomaa kuipa nchi hasara,sasa hasara kubeba hamtaki.What a mediocre bunch of people.
 
990c00415dba568fea8089a41acc1ed2.jpg
 
Aisee naazisha chama, huu upuuzi wa upinzani hauvumiliki
Kwani yeye ndio aliyeongea hayo?Laan za wapi hizi.Si mlijidai kukomaa na kulazimisha haya yatokee.Hata kuyaface hamuezi.Sasa laana za ccm mnalaumu mbowe?Hata kumpa ahsante kwa kuwaambia kitu kilichokuja onekana hamna huo ujasiri?
 
Mkuu naunga mkono hoja....Mbowe ni kiongozi wa hovyo sana siku hizi

Hadi najiuliza kuna kitu gani kimetokea

Mbowe huyu sio yule Mbowe jasiri tuliyekuwa tunamfahamu

Au amekata tamaa?

Chama chetu kimekuwa hakina mshikamano kama mwanzo

Ni ujinga wa kiwango cha PHD kutegemea ushinda uchaguzi wowote atika mazingira ya sasa ya Kikatiba na Tume ya Uchaguzi
ulitaka afanye nini apindue nchi ili mpate cha kuhamia na kumshutumu?.Mbowe ni smarter kuliko CCM YOTE YA LEO NA ILIYOPITA COMBINED. nyie hamkumbuki hata jana, wala hamna ujasiri na uwezo wa kuwajibika kwa upuuzi mnaopigia debe baadae taifa linapata hasara.
 
ulitaka afanye nini apindue nchi ili mpate cha kuhamia na kumshutumu?Nyie mtakua uzao wa ZIka.Mbowe ni smarter kuliko CCM YOTE YA LEO NA ILIYOPITA COMBINED. Wapuuzi km nyie hamkumbuki hata jana, wala hamna ujasiri na uwezo wa kuwajibika kwa upuuzi mnaopigia debe baadae taifa linapata hasara.
Hakuna usmart wowote
 
Kwani yeye ndio aliyeongea hayo?Laan za wapi hizi.Si mlijidai kukomaa na kulazimisha haya yatokee.Hata kuyaface hamuezi.Sasa laana za ccm mnalaumu mbowe?Hata kumpa ahsante kwa kuwaambia kitu kilichokuja onekana hamna huo ujasiri?
yeye si kiongozi basi apeleke misaada
 
Upinzani wa kusubiri matukio ni kansa itakayolidhuru taifa.
Tunatarajia kuwapa nchi wapinzani wakati hawapo ktk vision ya kupeleka taifa mbele kama si kusubiri fulani kasema nimjibu huu ni ujinga wa kiwango cha Phd kama ya baba jesca msivyotamani kuiskia.
 
Back
Top Bottom