Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

Huyu ni Martin kweli ? Basi kanenepa yule wa twitter ni umbi la kikuryq halafu mrefu na unene wake kama Mdude.
 
Kumbe Maranja bado ni kijana ,mbona ameamua kuharibu future yake mapema kiasi hiki ?inawezakanaje kijana mwenye akili timamu kuwa mateka wa hawa wachagga?

Hivi Mbowe na Lissu wanaiva kweli! Nina mashaka jwa kweli! Anayewajua vizuri atujuze!
 
Back
Top Bottom