Mimi nilikimbia uzi wa wakamaria kwa sababu watu ambao tunachat nao kule hawaji inbox ila kulikuwa na id mpya mpya kila saa viznga.Una balaa sana🔥🔥🔥
AsanteGame za Leo mkuu tuishi umu, tusubili dk 90 ziongeeView attachment 3663726
Tupo pamoja sana mkuu 🙏🏾Asante
Hahahahaaa unatisha sana mkuu!Kesho naleta utabiri wa game 4 ad 5 mujiandae na mitaji yenu tu wakuu
Imekuwaje kiongozi!Hamna kazi
Yaaan acha mkuu nimkekufa vibaya sana leo aiseeeee aaaaahImekuwaje kiongozi!
🤣🤣🤣🤣 naona kimekulambaYaaan acha mkuu nimkekufa vibaya sana leo aiseeeee aaaaah
Betting ni mbaya, pole kiongozi.Yaaan acha mkuu nimkekufa vibaya sana leo aiseeeee aaaaah
Kiwa makini mkuu sukari hiyo isipande 🤣🤣Huu uzi ufungwe tuu kubabek
Mfano wewe unaonekana hizi odds 2 kwa games 2 au 3 sio shida kabisa kwako mkuuMimi nilikimbia uzi wa wakamaria kwa sababu watu ambao tunachat nao kule hawaji inbox ila kulikuwa na id mpya mpya kila saa viznga.
Ndiyo nikasitisha code wala nn asa hivi nimekuwa mzugaji napitiaga kusalimia salimia.
Asa mtu anasema mtabiri kwa odds 1.16
Upotevu wa muda kusuka mkeka wa mechi 10 wenye odds 1.5 au 2.
Odds 2 walau zitafutwe kwenye mechi 2 au hata 3 siyo mbaya kama ni uwekezaji.
Sasa odds 2 unazisaka kwwnye mechi 6+??
Huko nilishatoka mimi hizo odds 2 ni matokeo ya mechi 1.Mfano wewe unaonekana hizi odds 2 kwa games 2 au 3 sio shida kabisa kwako mkuu
Lakini hata hizo odds zako unazotafuta huwa unawin mara nyingi nyingi tuHuko nilishatoka mimi hizo odds 2 ni matokeo ya mechi 1.
Yaan naweza tia mkeka wenye odds hata 6 kwa mechi 1 na nikabamiza.
Odds 2 ni mechi 1 nayosuka ndani ya mkeka wwnys mechi hata 10.
Ningekuwa na shida na hizo odds, 2,2 au 4 mbona kila siku ingekuwa sherehe?
Kwanini isiwe hivyo sasa mkuu uwe unatubless ata odds 2 tu Kila siku kama wewe hazikufaiHuko nilishatoka mimi hizo odds 2 ni matokeo ya mechi 1.
Yaan naweza tia mkeka wenye odds hata 6 kwa mechi 1 na nikabamiza.
Odds 2 ni mechi 1 nayosuka ndani ya mkeka wwnys mechi hata 10.
Ningekuwa na shida na hizo odds, 2,2 au 4 mbona kila siku ingekuwa sherehe?
Odds 2 za humu zinawahi chanika kinomaa ila ukizisuka man alone zinatoboa.Kwanini isiwe hivyo sasa mkuu uwe unatubless ata odds 2 tu Kila siku kama wewe hazikufai