Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahaha...Mimi kuna moja hivi Braza alitafutia kazi na Scholarship ya PhD lakini alichokuja kufanywa, teh teh teh teh!
Nidyo maana mimi kama namsaidia mwanamke huwa namsaidia bure tu kwasababu nimeamua, lakini nje ya hapo huwa sitegemei sanaaaa kutoka kwao. Its a racket, kufanya betting ya maisha na mwanamke...
Aisee, watu kumbe wanalambishwa mchanga

. Hicho kimbunga kibaya sana.

