Free talk: Mwanamke shtuka!

Free talk: Mwanamke shtuka!

Nikiwa binti, mara nyingi ijumaa tulikuwa na mikesha ya vijana, sio tu kuombeana ila nakukumbushana vitu mbalimbali. Namshukuru Mungu kwa ajili ya Pastor wetu, kuna muda alikuwa anatupa makavu hadi kanisani unapaona pachungu, Ila alitutengeneza tukawa watu fulani amazing sana.

He used to tell us young ladies; muda ambao hujaolewa ndo muda wa kufulfil your dreams; making an identity of your own. Once ukiolewa mara nyingi sana utatimiza ndoto/kutembea na vision ya mumeo. Majority tunaua ndoto zetu tukiingia ndoani (sad). So alitutaka tufanye kazi kwa bidii, adding values to our lives, sio tuspend kwenye unnecessary starehe kujifanya slay queens; waiting to get married and chop our hubby's money. Kuna wakati anamsimamisha kijana mdogo yupo high school (inspiration) ila tu ni anachakarika akikutajia assets zake, mimi limama lizima naona aibu na kupata tabu sana. Hakutaka kusikia kitu "I'm doing nothing". Kuna maisha zaidi ya kuolewa, what if usipoolewa, ndo utaishi ukiinvest kwenye kujiremba milele?

Hujapanga, unakaa home, make sure una vitu/assets zako. Sio kusubiri zawadi na vyombo vya send off ndo ukaanzie maisha, wewe binafsi unabeba nguo na viatu na mapochi.
Na alikuwa anatuambia kabisa, tusiende tukawe mizigo kwa waume zetu, hata chumvi ikiisha unasubiri baba atoke kazini. Wengine wanalia mume wangu ananinyanyasa sana, Ila wakati mwingine ni kwa sababu huna mchango wowote financially nyumbani, anakuchokaa. Afu pamoja na kuzaa, bado tuna wajibu wa kutimiza ndoto za watoto wetu. Watoto wako wasishindwe kutimiza ndoto zao kisa baba amekataa kuwahudumia au hayupo au tukasema ni kazi ya baba yao tu. Though sio kama kila mtu atafanikiwa kuinvest as we wish, ila kuwa na ile spirit ya kuthubutu/ kutaka kufika mahala fulani ni jambo zuri sana. Kwa sababu hata usipofanikiwa leo, you won't rest till you make it happen.

Na maisha yana ups and downs, hata ukiolewa na bilionea possibly kuna siku maisha yatashake kidogo, sasa ukiwa slay queen, hicho kipindi cha mpito kitapita salama? Usije ukamuua kwa presha mumeo kwa kutaka aendelee kukuhudumia as it was before, au utakimbia nyumba? au utatafuta sponsors ili uendelee kumaintain status?. Make your own identity lady. Mwanamke ana nguvu ya kumultiply, chochote kidogo kitakachopandwa kwake/kufanywa na yeye, atakitunza hadi kiongeze na vingine. (I missed magazeti mweeh)
 
Vigumu kwa Mwanaume kufunguka kuhusu biashara zake kumueleza siri za mafanikio mwanamke.

Hata kipato tu anachokipata mwanaume kwenye biashara kumwambia mwanamke ni kama kuuza ramani ya vita kwa adui.

Ukitaka pesa utapata, lkn channel za business kwa demu (mwanamke) ni vigumu kupata. Labda labda labda awe mke wa ndoa labda.
Wapo wasio wachoyo.
 
Have ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...

Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...

Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...

Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!

Aisee umesema vizuri mtumishi.

Kwa busara hizi kwanini usipendwe na LUBEDE .

Mungu akubariki.
 
Nikiwa binti, mara nyingi ijumaa tulikuwa na mikesha ya vijana, sio tu kuombeana ila nakukumbushana vitu mbalimbali. Namshukuru Mungu kwa ajili ya Pastor wetu, kuna muda alikuwa anatupa makavu hadi kanisani unapaona pachungu, Ila alitutengeneza tukawa watu fulani amazing sana.

He used to tell us young ladies; muda ambao hujaolewa ndo muda wa kufulfil your dreams; making an identity of your own. Once ukiolewa mara nyingi sana utatimiza ndoto/kutembea na vision ya mumeo. Majority tunaua ndoto zetu tukiingia ndoani (sad). So alitutaka tufanye kazi kwa bidii, adding values to our lives, sio tuspend kwenye unnecessary starehe kujifanya slay queens; waiting to get married and chop our hubby's money. Kuna wakati anamsimamisha kijana mdogo yupo high school (inspiration) ila tu ni anachakarika akikutajia assets zake, mimi limama lizima naona aibu na kupata tabu sana. Hakutaka kusikia kitu "I'm doing nothing". Kuna maisha zaidi ya kuolewa, what if usipoolewa, ndo utaishi ukiinvest kwenye kujiremba milele?

Hujapanga, unakaa home, make sure una vitu/assets zako. Sio kusubiri zawadi na vyombo vya send off ndo ukaanzie maisha, wewe binafsi unabeba nguo na viatu na mapochi.
Na alikuwa anatuambia kabisa, tusiende tukawe mizigo kwa waume zetu, hata chumvi ikiisha unasubiri baba atoke kazini. Wengine wanalia mume wangu ananinyanyasa sana, Ila wakati mwingine ni kwa sababu huna mchango wowote financially nyumbani, anakuchokaa. Afu pamoja na kuzaa, bado tuna wajibu wa kutimiza ndoto za watoto wetu. Watoto wako wasishindwe kutimiza ndoto zao kisa baba amekataa kuwahudumia au hayupo au tukasema ni kazi ya baba yao tu. Though sio kama kila mtu atafanikiwa kuinvest as we wish, ila kuwa na ile spirit ya kuthubutu/ kutaka kufika mahala fulani ni jambo zuri sana. Kwa sababu hata usipofanikiwa leo, you won't rest till you make it happen.

Na maisha yana ups and downs, hata ukiolewa na bilionea possibly kuna siku maisha yatashake kidogo, sasa ukiwa slay queen, hicho kipindi cha mpito kitapita salama? Usije ukamuua kwa presha mumeo kwa kutaka aendelee kukuhudumia as it was before, au utakimbia nyumba? au utatafuta sponsors ili uendelee kumaintain status?. Make your own identity lady. Mwanamke ana nguvu ya kumultiply, chochote kidogo kitakachopandwa kwake/kufanywa na yeye, atakitunza hadi kiongeze na vingine. (I missed magazeti mweeh)
Hello sweetheart, hili gazeti limenibariki kweli hadi nimetamani mods wangelipandisha pale juu.

Ni kweli kuthubutu ni muhimu sana, hata usipopata kikubwa sana ila angalau utapata chochote. Mtembea bure si sawa na mkaa bure.....

Umemisika mnooo
 
Najua wamesoma kama mimi nilivyosoma..

The issue is; will they take this and work on it..? Kama wako tayari kubadilika watayachukua..

Nawaombea wayaelewe haya.
 
Wanaume wana mentality kwamba eg. Ukimsomesha mwanamke sio kitu kizuri (mchumba hasomeshwi)

Vile vile hata kwenye kipato ipo hivyo kwamba kumuinua mwanamke kwenye kipato ni sawa na kutengeneza mpinzani.
 
Not real mkuu.

Sio wote wenye mtazamo huo. Ila pia hili la kusomeshwa binti wa mtu na kumsupport mwanamke kiuchumi ni vitu viwili tofauti..

Be resposible for what is already yours.
 
Ondoeni hiyo mentality, kuna leo na kesho.
 
Hello sweetheart, hili gazeti limenibariki kweli hadi nimetamani mods wangelipandisha pale juu.

Ni kweli kuthubutu ni muhimu sana, hata usipopata kikubwa sana ila angalau utapata chochote. Mtembea bure si sawa na mkaa bure.....

Umemisika mnooo

Nilikumiss hadi nime-undo kukumiss kyee. Kweli mtembea bure si sawa na mkaa bure
 
Not real mkuu.

Sio wote wenye mtazamo huo. Ila pia hili la kusomeshwa binti wa mtu na kumsupport mwanamke kiuchumi ni vitu viwili tofauti..

Be resposible for what is already yours.
Mkwe hata kumsomesha si unamsupport kiuchumi pia?
 
Not real mkuu.

Sio wote wenye mtazamo huo. Ila pia hili la kusomeshwa binti wa mtu na kumsupport mwanamke kiuchumi ni vitu viwili tofauti..

Be resposible for what is already yours.
Yap: ni kweli mkuu

Ni vyema kusaidiana coz huwezi jua, unaemsaidia leo anaweza kukusaidia na wewe kesho.

Wanawake ni watu wa kulipa fadhila na unapowekeza kwa mwanamke umewekeza sehemu stahiki, kwani wakiwezeshwa wanaweza
 
Back
Top Bottom