Bakini navyo...mwisho vitawadodeaHahahaaaa!!! Mkwe kutegana sio vizuri ujue, tukiamua hapatatosha.![]()
![]()
Ila wanawake bhana..Mkwe mimi thijui![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa hii itakuwa biashara kichaa...Sio nikifeli unanisimanga sasa!!! Unanipa moyo narudia tenaaaa.

Hajambo Heaven SentMaza hauzi nimejaa kwenye hauzi, sio maza hauzi kembambaaa ukivaa dera unaonekana kama ustaadhi![]()
![]()
![]()
Bukheri wa afya kabisa, sijui wewe mkwe wa mamaHajambo Heaven Sent
Mimi mzima kabisa..Bukheri wa afya kabisa, sijui wewe mkwe wa mama
Hamuwezi kubadilika.Have ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...
Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...
Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...
Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!
ubarikiwe jamaani.
.Wanawake mbona mnapenda favour sana yan hata jambo hili dogo hadi muundiwe sera cjui katiba ndo mjue kua mnatakiwa kufanya investment!Pia kuwepo na sera zitakazo muwezesha na kumlinda mwanamke huyu anapokuwa na ubunifu katika kazi zake.
Mwanamke huyu anapoandaliwa mazingira mazuri, ni rahisi kwake kufanikiwa na kutimiza ndoto zake
Katika ukumbusho ulio bora na huu ni mmoja wapo jamaani.
Aunt Heaven Sent nilikuwa nasoma lile gazeti lako la kwanza kabisa post no #21 yaani nimejikuta linanisuuza hali iliyosababisha nimelisoma mara tatu tatu na bado hapa natamani nikalirudie kulisoma. Lol
![]()
![]()
![]()
ubarikiwe jamaani.
Ila ndio mpunguzage kutoonekana we na Da espy humu kwani tunavikosa vingi kutoka kwenu , kwani siku zote hawakukosea waliosema utu uzima Dawa.![]()
.
Hahaaaa. Karibu jamaani Aunt. Ahsante mnooo.Aunt me nimerudi mazima na magazeti yangu lol, na hongera kwa kuendelea kutuwasilisha wahenga wenzio muda wote tuliopotea. Barikiwa sana

Ndo tushatua mizigo, tumefikaHahaaaa. Karibu jamaani Aunt. Ahsante mnooo.
Jamaani muje muje Wahenga kwani kuna saa tunaona kabisa jf imepwaya.
Amiin![]()
![]()
![]()

Ewaaaaaa. Aunt hayo ndio maneno sasa.Ndo tushatua mizigo, tumefika![]()
![]()
Kuna demu juzi kati kamzingua dogo wangu hadi tukagoma kwenda kupeleka posa, wakati kamsaidia sana kwenye mambo ya shule hadi kamaliza chuo, jana ndio napata stori jamaa anaemzuzua anafanya kazi duka flani anaiba ela wanaenda kuzitumbua, dogo kalia sana ila ndio hivyo tumemwambia kuhusu habari ya huyo demu asituhusishe tena labda awe mwingine, ila kwa utajiri wa dogo aliokuanao (sema alkua hamuonyeshi huyo demu) demu kapishana na ela aisee, wanawake wazuri wana shida sana.Nikiwa nimemuoa ni mke wangu sawa..ila binti yuko kwa baba yake hapana..
Nani anataka kucheza karata dume..?![]()
Oooh haleluyaHave ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...
Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...
Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...
Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!
