Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hizi zilikuwa enzi ya kina Yohana na Petro..![]()
![]()
![]()
![]()
Mkwe tenda wema nenda zako...![]()
![]()
![]()
![]()
This is new era..


Hizi zilikuwa enzi ya kina Yohana na Petro..![]()
![]()
![]()
![]()
Mkwe tenda wema nenda zako...![]()
![]()
![]()
![]()


Si kweli ama?Wacha we!! Eti mutual pleasure![]()
Ndio vizuri... mambo ya physics with chemistry.![]()
![]()
![]()
![]()
Kwakweli, narudia form two.

Mkwe tunawaheshimu sana, shetani na ASHINDWE.Ila ukipata mwanaume anayekuheshimu na akakupa support to the maximum mpe haki ya kuenjoy the superiority as a MAN.
Kosa ni pale dharau, ignoring nyingi zinapoanza...! Kuna wanawake hawajielewagi ...lazima tabu ziinuke.
Na shwatan alivyo mbaya..! Everything goes down in a friction of second.
Mtupe heshima pia pale tunapokuwa wa kwanza kuwasupport.
Maneno mazito sana haya, angalau mwamko sasa upo ila sio kihiiivyo.Umenena vyema Espy, kwa kweli ni wanawake wachache sana kwasasa wanaofikiria maendeleo kwa jitihada zao wenyewe pasipo kuwepo mkono wa mwanaume.
Unakuta dada kaajiriwa (binafsi/serikali) na ana muda hata wa zaidi ya miaka mitatu kazini lakini hana lolote alilowekeza zaidi ya kuhangaika na fashion kila siku... Wengi hatukumbuki kuwa nafasi na muda tulionao sasa baadaye tunaweza tusiupate, nyakati zinabadilika uchumi nao unakuwa sio rafiki.. Siku utakayoingiwa na akili ya kufanya kitu angalau kikaonekana cha manufaa kwako na kwa yeyote ajaye (mume/watoto) ndo utakapo ng'amua kuwa huna tena uwezo wa kufanya hivyo na ndipo itabaki tu simulizi kuwa yule dada enzi zake alikuwa yuko vizuri kiuchumi...Muda huo akili unayo lakini huna vitendea kazi.
Mambo mengine tuwe tunayaacha yanatupita, si lazima kuyumbishwa na dunia, kushoto upo, huku upo , kule upo yaani kila kinachokuja umo....
Tujaribu pia kuangalia na aina ya marafiki wa kuambatana nao, wao kila siku wazungumzia fashion mpya tu na kutambiana madanga, wafikiri lini utapata wazo la kusema uinvest kwenye kitu cha maana???
Nimewahi kuwa na rafiki, alinizidi kwa umri (miaka 6) lakini sioni alichokuwa akinifaidisha zaidi ya kunipa stori tu za kupelekana maduka ya mikoba + nguo + viatu + stori za madanga aliyonayo...
Nikimshauri mawazo mazuri utasikia maisha yenyewe hayaeleweki, tutumie....Nikaona hili BOX halinifai...
*Kama una uwezo na nafasi ya kufanya kitu fanya, huyo mume endapo utajaaliwa aje akute angalau una pa kuegemea...Mkiunganisha nguvu pamoja angalau mnakuwa mmejisogeza sogeza....
Mie huwa nina kautaratibu kangu kamoja, kabla sijamfanya mtu rafiki mpaka wa kuanza kujua ni nini nafanya (sio vyote) naanza kumuasses mapema, kama ni wale wale asitegemee nimuombe ushauri ama kumshirikisha ni nini nataka kufanya....Wengi wanakuwaga na kauli za kukatishana tamaa kitu nisichokipenda.Maneno mazito sana haya, angalau mwamko sasa upo ila sio kihiiivyo.
Hapo pa marafiki napo ni janga kwakweli, unakuta rafiki kila unachotaka kujaribu anakukatisha tamaa mwisho wa siku unaacha na ukija kustuka its too late.
Maza hauzi nimejaa mjengoni, sio maza hauzi kembambaaa ukivaa dera unaonekana kama ustaadhiMama la mama.

Maza hauzi nimejaa kwenye hauzi, sio maza hauzi kembambaaa ukivaa dera unaonekana kama ustaadhi![]()
![]()
![]()




,