Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nikiwa nimemuoa ni mke wangu sawa..ila binti yuko kwa baba yake hapana..Mkwe hata kumsomesha si unamsupport kiuchumi pia?
Nani anataka kucheza karata dume..?

Nikiwa nimemuoa ni mke wangu sawa..ila binti yuko kwa baba yake hapana..Mkwe hata kumsomesha si unamsupport kiuchumi pia?

Hapa nimekuelewa sanaaaa.Ok.. positive
Mwanaume atafurahi kuona unamuuliza mambo ya msingi, atakuona mwanamke wake una upeo mkubwa, unafikiria mbali.
Kwa vile anakupenda, hatosita kukusaidia na kukuinua sababu anajua hata siku na yeye akianguka utaweza kumsaidia.
Eeeewalaaaaa! Mambo ndio haya sasa, hebu msiache kutustua tutoke usingizini jamani.Yap: ni kweli mkuu
Ni vyema kusaidiana coz huwezi jua, unaemsaidia leo anaweza kukusaidia na wewe kesho.
Wanawake ni watu wa kulipa fadhila na unapowekeza kwa mwanamke umewekeza sehemu stahiki, kwani wakiwezeshwa wanaweza
Kwa kweli tuombeane tu katika kuyatenda. I had this sista friend, walitengana na mumewe, mwanamke akiwa jobless. Kila siku alikuwa anatuma vimemo vya mahitaji kwa baba watoto hadi yule baba akawa anamuuliza "hivi unataka kuniua au?". Ila akaniambia kuna siku alikaa tu mwenyewe akawa anajiuliza "hivi ikitokea huyu mwanaume amekufa (God forbid) nitaishije na hawa watoto?" Na hata hizo hela nazopewa kwa child support zinaishia tu kwenye kula, kesho nikiamka naomba tena mahitaji. Akaanza kibiashara chake cha bites; Mungu ni mwema, sasa hivi baba watoto mwenyewe ndo anapiga kuulizia bills, vimemo vimepungua, mama kaamua kupambana kwa ajili ya wanae. Too much utegemezi ni best friends na umaskiniNajua wamesoma kama mimi nilivyosoma..
The issue is; will they take this and work on it..? Kama wako tayari kubadilika watayachukua..
Nawaombea wayaelewe haya.
Ok..positiveHapa nimekuelewa sanaaaa.
Aibu naona mimi jamani. Ndo kwamba likizo ilikunogea sana hukupata kataarifa ya yanayojiri humu au?Hahahaaaa!!! Eti umefanya nini!!!
Kwanini hukuniambia mwenzio jf ilifungwa sijui! Jana ndo nimejua![]()
![]()
![]()




yeuwiiI think I love youNikiwa binti, mara nyingi ijumaa tulikuwa na mikesha ya vijana, sio tu kuombeana ila nakukumbushana vitu mbalimbali. Namshukuru Mungu kwa ajili ya Pastor wetu, kuna muda alikuwa anatupa makavu hadi kanisani unapaona pachungu, Ila alitutengeneza tukawa watu fulani amazing sana.
He used to tell us young ladies; muda ambao hujaolewa ndo muda wa kufulfil your dreams; making an identity of your own. Once ukiolewa mara nyingi sana utatimiza ndoto/kutembea na vision ya mumeo. Majority tunaua ndoto zetu tukiingia ndoani (sad). So alitutaka tufanye kazi kwa bidii, adding values to our lives, sio tuspend kwenye unnecessary starehe kujifanya slay queens; waiting to get married and chop our hubby's money. Kuna wakati anamsimamisha kijana mdogo yupo high school (inspiration) ila tu ni anachakarika akikutajia assets zake, mimi limama lizima naona aibu na kupata tabu sana. Hakutaka kusikia kitu "I'm doing nothing". Kuna maisha zaidi ya kuolewa, what if usipoolewa, ndo utaishi ukiinvest kwenye kujiremba milele?
Hujapanga, unakaa home, make sure una vitu/assets zako. Sio kusubiri zawadi na vyombo vya send off ndo ukaanzie maisha, wewe binafsi unabeba nguo na viatu na mapochi.
Na alikuwa anatuambia kabisa, tusiende tukawe mizigo kwa waume zetu, hata chumvi ikiisha unasubiri baba atoke kazini. Wengine wanalia mume wangu ananinyanyasa sana, Ila wakati mwingine ni kwa sababu huna mchango wowote financially nyumbani, anakuchokaa. Afu pamoja na kuzaa, bado tuna wajibu wa kutimiza ndoto za watoto wetu. Watoto wako wasishindwe kutimiza ndoto zao kisa baba amekataa kuwahudumia au hayupo au tukasema ni kazi ya baba yao tu. Though sio kama kila mtu atafanikiwa kuinvest as we wish, ila kuwa na ile spirit ya kuthubutu/ kutaka kufika mahala fulani ni jambo zuri sana. Kwa sababu hata usipofanikiwa leo, you won't rest till you make it happen.
Na maisha yana ups and downs, hata ukiolewa na bilionea possibly kuna siku maisha yatashake kidogo, sasa ukiwa slay queen, hicho kipindi cha mpito kitapita salama? Usije ukamuua kwa presha mumeo kwa kutaka aendelee kukuhudumia as it was before, au utakimbia nyumba? au utatafuta sponsors ili uendelee kumaintain status?. Make your own identity lady. Mwanamke ana nguvu ya kumultiply, chochote kidogo kitakachopandwa kwake/kufanywa na yeye, atakitunza hadi kiongeze na vingine. (I missed magazeti mweeh)

Kisha hiyo elimu tuihamishie kwa watoto wetu wa kike wakue wakijua hawapaswi kuwa tegemezi bali wapambane wajikwamue kiuchumi.Ok..positive
Kuwe na seminar nyingi ambazo zitakuwa zinalenga kumsaidia mwanamke kujitambua hasa kiuchumi.
Kuanzishwe vipindi vya redio na tv kwenye vituo mbalimbali, kumuelimisha mwanamke kujitambua na namna gani ya kujisogeza mbele na kuwekeza kwenye biashara, badala ya kutumia pesa nyingi kwenye urembo na starehe.
Apate elimu na mafunzo ya kutosha, endapo akipata pesa ni nini anatakiwa kufanya kujikwamua kiuchumi kwa sasa na baadae
That's great...Kwa kweli tuombeane tu katika kuyatenda. I had this sista friend, walitengana na mumewe, mwanamke akiwa jobless. Kila siku alikuwa anatuma vimemo vya mahitaji kwa baba watoto hadi yule baba akawa anamuuliza "hivi unataka kuniua au?". Ila akaniambia kuna siku alikaa tu mwenyewe akawa anajiuliza "hivi ikitokea huyu mwanaume amekufa (God forbid) nitaishije na hawa watoto?" Na hata hizo hela nazopewa kwa child support zinaishia tu kwenye kula, kesho nikiamka naomba tena mahitaji. Akaanza kibiashara chake cha bites; Mungu ni mwema, sasa hivi baba watoto mwenyewe ndo anapiga kuulizia bills, vimemo vimepungua, mama kaamua kupambana kwa ajili ya wanae. Too much utegemezi ni best friends na umaskini
Haha Ila wanaume mnanifurahishaga. Kwenye sex mnataka mpewe freely no excuse, yani sex upewe kama mume vile ; unasahau hujamuoa. Ikija kwenye kumsupport financially ndo mnakumbuka ni binti yupo kwa baba ake. Baba zetu wanawaonaNikiwa nimemuoa ni mke wangu sawa..ila binti yuko kwa baba yake hapana..
Nani anataka kucheza karata dume..?![]()

Hehe, and I think "I like you"....I think I love you![]()
Noo...you took me wrong..Haha Ila wanaume mnanifurahishaga. Kwenye sex mnataka mpewe freely no excuse, yani sex upewe kama mume vile ; unasahau hujamuoa. Ikija kwenye kumsupport financially ndo mnakumbuka ni binti yupo kwa baba ake. Baba zetu wanawaona![]()
![]()
![]()

HahahHaha Ila wanaume mnanifurahishaga. Kwenye sex mnataka mpewe freely no excuse, yani sex upewe kama mume vile ; unasahau hujamuoa. Ikija kwenye kumsupport financially ndo mnakumbuka ni binti yupo kwa baba ake. Baba zetu wanawaona![]()
![]()
![]()